Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We jamaa pumba kabisa lvg kapewa timu kwenda nayo pre season akarudi kapigwa na swansea nk kapewa timu masaa 72 anacheza mechi yake ya kwanza ugenini anadraw acha ulinzi show some respect

Do you want me to show respect to Klap? What he got to earn my respect? 2 Bundesliga titles, few Mbuzi cups and relegation battles?!? 😂😂😂😂
 
relegation battle ipi?

ile ya LVG na barcelona mwaka 2003 tuiite nn?

The team finished 6th in the league and played a quarter final of the UCL.

But, wait a minute, inamaana unamlinganisha Klap na LvG?

What have you been smoking? 😳
 
The team finished 6th in the league and played a quarter final of the UCL.

But, wait a minute, inamaana unamlinganisha Klap na LvG?

What have you been smoking? 😳

Lol, LVG alipigwa chini akiiacha team ikiwa ya 12 na 3 points off the relegation zone..

Mafanikio makubwa ya LVG ni akiwa ya Ajax, na barca ya 1997's..but katika Bundesliga Klopp ana Record nzuri kuliko LVG..na kwenye EPL van Gaal bado HAJA-PROVE CHOCHOTE..

Since 2010 mpaka sasa, only JM, CA and Pep ndo better zaidi ya Klopp..

Usifananishe manager kijana na mzee ambaye kaanza kazi ya ukocha tangu 1986, na CV yake kubwa anayojivunia mpaka sasa ni ile ya Ajax enzi hizo ya 1990's..

For the past 5-6 years, klopp amefanya vizuri kuliko LVG..
 
Imagine mtu anawapigia watu makelele kuhusu LVG...HAHAHAHAHA
 
I'd take Simeone, Favre, Emery, Luis enrique over LVG anyday of the week..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom