MAJOGOO yanakupiga safari hii mechi ya marudiano!Najua unayaogopa sana MAJOGOO
Tutawanyonyoa tuu ha ha ha
Anakuja kocha anayejua mpira Ancelotti!!
Ee Mungu wape nguvu Aston villa watufunge ili yule anayetufanya tukose imani ,furaha na upendo na timu yetu(Brendan Rogers) aondoke kwa amani kama alivyokuja.
Na kila anayeunga mkono hili aseme Amen.
Ushindweeeee nimeibetia Liverpool inashinda acha nuksiEe Mungu wape nguvu Aston villa watufunge ili yule anayetufanya tukose imani ,furaha na upendo na timu yetu(Brendan Rogers) aondoke kwa amani kama alivyokuja.
Na kila anayeunga mkono hili aseme Amen.
Pale unapoomba mabaya ndipo mambo yanakuwa mazuri Hongereni naona A subuhi A subuhi kitu kishasoma.
Ushindweeeee nimeibetia Liverpool inashinda acha nuksi
Shukrani ila maombi haya hayapiti bure lazima yaende na BR subirii
Pale unapoomba mabaya ndipo mambo yanakuwa mazuri Hongereni naona A subuhi A subuhi kitu kishasoma.
Hii thread bado ipo???
Hii thread bado ipo???
Hongereni sana kwa mafuriko ya Leo.... Ed n Edd nEddy Malafyale
Nachukua ubingwa mwaka huu kiurahisi kbisaHongereni sana kwa mafuriko ya Leo.... Ed n Edd nEddy Malafyale
Nachukua ubingwa mwaka huu kiurahisi kbisa
Ww utakuwa wa 4