Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha mumy bana!! huku kuna watu wakali humu shukuru Mungu BR kawahamisha kambi unaweza pewa neno moja tu ukasahau hata mlango ulioingia , huku anawaweza kaka Nzi tu....
Sasahivi wamekimbia kambi ndo maana namuonea huruma Ed n Edd nEddy kabaki legend mwenyewe.

Wako mapumziko kidogo watarudi siyo muda mtani
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mumy bana!! huku kuna watu wakali humu shukuru Mungu BR kawahamisha kambi unaweza pewa neno moja tu ukasahau hata mlango ulioingia , huku anawaweza kaka Nzi tu....
Sasahivi wamekimbia kambi ndo maana namuonea huruma Ed n Edd nEddy kabaki legend mwenyewe.

Ahaaa kumbe lol...nilijua una buu huku...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom