Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hata mimi nimeona uongo ndo maana nimekuletea uhakiki ...mtani kwa mara nyingine kila la heri.
Asante mtani .... Nitakuja baadaye kukusalimia kule kwenu
Hata mimi nimeona uongo ndo maana nimekuletea uhakiki ...mtani kwa mara nyingine kila la heri.
Pale unapolala huku ukiomba asubuhi uamke ukute BR kafukuzwa. Eeeh Mungu jalia hili ombi langu leo