Matchday
Matchday
Sijui nikuombeeeje? Yangu bila kinafiki kila la heri mtani wangu....
Mimi all the best mkaanga sumu mwenzangu
Nina sababu billioni za kuwapenda. Ameeen
Nina sababu billioni za kuwapenda. Ameeen
Benteke inawezekana akawa nje kwa wiki sababu ya hamstring
🙆🙆🙆🙆 mmekwisha.....
Mtani kuwa mpole basi au hujui kuwa glass boy 'ST' karudi...! ?
Haya Mtani. ......eti hii hapa ni kweli jamani:-
Mtani kuna vitu siyo vizuri kuviona ... Lakini nadhani siyo kweli 😎😎😎