awali ya yote wamiliki ------- wanawezaji kumvumilia mkuna pua utafikiri ana cv, kwa nini wasingemuacha KD ambaye alitupa kombe?
kama hasara ya andy carrol tayari br katuingiza hasara ndogo ndogo ambazo ukijumlisha inazidi big andy.
mashabiki wanaoingia anfield wamkatae br ikiwezekana wagomee mechi wamarekani wamfukuze hili jinga.
halina cv yoyote kule swansea alikuta foundation ya tik taka iliwekwa na roberto martinez.
kaja liverpool kwa mbwe mbwe za tik taka kuwafukuza players wasioendana na mifumo yake, tangu awe na kikosi kizima chake liverpool sasa tunafungwa fungwa tu 6, 3 hata na timu zakiboya na hakuna fighting spirit kajaza mabitoz kwenye timu yetu.
ni ujinga kujifariji mbona hata chelsea kafungwa, sasa kama atushindi kuongeza gap top4 tutamtoa man city?
mechi zote tulizoshinda hatukuwa comfortable, wanatushinda hata bournemouth kwa kutengeneza nafasi.
tatizo ni kocha sio kitu kingine afu anachonga sana alidai anafanyia kazi ulinzi lkn ndio tumekula 3 o clock.
kwa br kale ka sterling kanafika kutufunga, lkn enzi za KD hata kulikuwa na uzalendo nakumbuka Torres mechi yake1 vs liver alichezea vitasa na agger.
Br kawaondoa wote wenye mapenzi kabakiza passenger, Coutihno ataondoka huyu kenge akivumiliwa msimu mzima