Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ata sigala sijawahi vuta Bruh

aaah wapi aiseee.... lazma uko na mneli, tena siajabu unabembea kabisa na mapowwwwderrr

Maana unabembea kichizi kwenye kichwa chako

Hivi hao wachezaji unaowazungumzia unawajua au ndio unawacheki kwenye bando tu?? maana the more you comment the funnier you get

bwahahahahahaha,, aha aha ahahahahahahaaaaa

You made my day Mr. Smalling
 
Muda mwengine Humu watu wanapoteza muda kubishana na watu Wenye ubishani wa Kitoto wameanza kujuwa timu za mpira wamshukuru Murtaza Dewji kuwawekea DTV lasivyo Hiyo timu wanazoshangilia wasingezijua hawa ndio rahisi Kuwa Mashabiki wa Manchester City au Chelsea tuongelee yetu wengine kwao Vyooni. Ndio wale wale unashabikia timu gani? Atakwambia ile pale yenye wale ama striker weusi Wawili Mbele nafikiri mshanielewa? Jina la timu walikuwa hawalijui.
 
so far nina trophies 62 we una 60, am ur leader show some respect.

Wikipedia at its best...kwa mujibu wa wikipedia ni kweli una trophies 62, lakin katika ya hizo trophies kuna Community shield, Intertoto cups, Full membership leagues etc, ambapo huwez kukuta mahali popote pale LFC fan anajivunia na kuhesabia aina hiyo ya Trophies, na kama ndugu unahesabia CS (ngao ya hisani) kama trophy, unafanya nizidi kudoubt uwezo wako wa kufikiri hasa katika masuala ya mpira...

Me naomba tuongelee MAJOR HONOURS tu, tuachane na makombe ambayo mengine yanaitwa Full membership league Cups etc coz hayawez kucount kwa watu wanaofatilia mpira..


Hii picha nyingine hapa chini, na article kutoka Mail, itakufafanulia haswa maana ya Major honours na trophies


Hii article ni ya March 2015
http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...ging-rivals-Manchester-United-silverware.html

Kabla hujaingia wikipedia, jaribu kufanya kwanza research ya kwako mwenyewe, hiz new studies nilizokupa ni za mwaka huu, ambapo interms of trophies, LFC ndo the BIGGEST club in UK, na hili jambo nilishalileta kwenye uzi wenu kule, majuzi tu hapa..so nilitegemea ukinichallenge kwa upande huu, ila una trophies 62 sikatai ambazo zinainclude Community shields, Full membership league, intertoto etc...me ya kwangu nmekuletea inayohusiana na MAJOR HONOURS..as an LFC fan na mtu nnayependa mpira, sijawah kufikiria kuwa "NGAO YA HISANI' nayo ni Major honour au inaweza kuwa consdered kama trophy..
 

A a a a a a a a a, aya mastats sometym sio ishu sana, maana kwa stats tu Mignolet alikuwa bora zaidi ya de gea last season..
 

A a a a a a a a a a a a a a a a a, jamaa yako huyo Mr Liverpool uwa akuchekeshi, maana yeye kila mchezaji wa United ni mbovu kuzidi wa Liverpool, ivi ni haki kweli kusema zaidi ya Mata na de gea akuna mchezaji wa United anayeweza kuingia katika XI ya Liverpool.??? Hivi mtu kama Ibe anaweza kuingia katika XI hipi kati ya timu hizi, Man United, Chelsea, Arsenal, Man City, Everton, Spurs, Swansea, Soton,
 
one cater
Kama angekuwa hot BASTIAN asingeondoka Bayern!Kukubali kuja Man U ni kuwa kaji down grade kwa saana tu
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kuchangia...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…