sio kweli kbs taarifa yako ya hasara ya izo safari unazosema,mi nikuulize tu una facts juu ya izo hasara au unaongea kwa mtazamo wako?
***Wachezaji waliouza jezi zaidi za club 2014/2015 na ambae hakuuza sana na wa mwisho wa lfc
Estimated total sales: 810,000 football shirts per year
Highest selling club soccer jerseys names: Suarez, Coutinho, Sturridge
Most sold unlikely soccer jerseys names: Kolo Toure
LOOOOOOOOOOL!
Bruh!!!!!!
Unaishabikia LFC kweli???? Ushawahi kununua hata jersey moja kutoka kwenye online store ya LFC??
*most selling soccer jerseys names* Suarez, Coutinho na sturridge kwa mwaka gani? Umeelewa ulichokiandika?
Hiyo figure uliyonipa hapo ya 810k ni ya march, 2014, ambapo calendar year ilikuwa inajumuisha msimu wa 2013/2014, kuanzia august 2013 to March 2014 ambapo katika takwimu hizo hakuna mchezaji hata mmoja wa LFC alimake katika TOP 1O ya mauzo ya jersey kwa wachezaji, WORLDWIDE, huku CR7 akishika namba moja kama kawaida, na kama wewe ni shabiki mzuri wa LFC utagundua kuwa mwaka ule ule 2013, kabla ya August..kwamba kwa mwaka 2013, wachezaji wa3 waliouza jersey nyingi (replica jerseys) number 1 alikuwa RVP from Utd, namba mbili alikuwa Steven Gerrard na 3 alikuwa Wayne, PALE BRITISH ONLY, na katika msimu ule wa 2013/2014, rooney alikamata number 5 worldwide, alikuwa pushed back na Mesut ozil aliyekamata number 3 baada ya Cr7 na Messi, ni hii baada ya kusign Arsenal akitokea madrid,
Mwaka huo huo Nov 25, 2014, baada ya season kuanza, namba 3 alikamata James rodrguez akitokea monaco kwenda madrid, 4 alikamata Falcao akitokea Monaco kwenda United, 5 alikamata Di maria akitokea Madrid kwenda united, na huu ulikuwa ni msimu wa 2014/2015..ambapo kwa LIVERPOOL, WORLDWIDE HIGHEST SELLER ALIKUWA NI MARIO BALLOTELI, and this time takwimu zinaonyesha tulikuwa tumeshuka kutoka 810k mpaka 805k which is Arsenal walikuja juu yetu katika number 6 sisi tukashuka number 7, Arsenal signed Sanchez kama unakumbuka, sasa hapo umenishangaza unavyoniwekea. DS NA COU, kwa msimu upi? Na huu msimu ulioisha, bado SG ndo kaongoza domestically kwa mauzo ya jerseys..
Bruh, katika mauzo ya jerseys kunakuwaga na categories man, kuna domestic sales na intenationally sales, kama unafatilia mpira, utagundua kuwa LFC inashuka kila mwaka katika mauzo ya jersey internationally, although domestcally bado tunadominate kwa kiasi chake, na sasa LFC wanategemea kuraise pesa za Jersey intenationally kupitia kwa FIRMINO..unapozungumzia WORLDWIDE, ndo maana kila kukicha unamkuta Cr7 number moja, siyo kwasababu anapendwa sana zaidi ya Messi NO, but Madrid wana fans wengi duniani kuliko barca, na marketing board yao inaelewa inachofanya, lakin ukikusanya takwimu za spain tu Messi atashinda, au ukikusanya za south America tu Messi atashinda, but Madrid na Manchester ndo teams zenye most fans in the world, na usishangae kwa list nyingine ya November au December mwaka huu BASTIAN akiwepo kwenye Top TEN,
Na pia, katika uuzaji wa jersey, kuna categories za Home kits, Away kits na 3rd kits, mchezaj anaweza akaongoza katika mauzo ya Jersey za away tu, lakin home kit akapotea, umentajia Cou, DS and Suarez, na hujanitajia mwaka, so let me tell you kwamba, mwaka 2013 (6 november) TOP SEVEN YA HOME KIT SALES ILIKUWA NI:1.cou, 2. SG, 3. DS, 4.Suarez, 5. agger, 6.Lucas, 7.Henderson, so kwa mtindo huo unaweza ukanambia DS aliuza jersey nying kuliko Suarez in General? Au cou aliuza jersey nying kuliko Suarez na SG in general? Kwa mfano mimi kwa sasa nasipenda sana away kits, so lazma nitaorder away kits tu, but generally kwa aina zote za jersey Cou and DS couldnt beat Suarez and SG..
And unapokuwa unachukua hizo figures zako, uwe unajaribu pia kusearch na top sellers wa hizo jersey, so kama ulikuwa hujui ni kwamba tangu mwaka 2011 mpaka 2015 ni wachezaji wengi wa LFC WAMEUZA JERSEYS, but kwa number ni kwamba STEVEN GERRARD, JAMIE CARRAGHER (kabla hajaretire 2013 feb) na LUIS SUAREZ (kabla hajaondoka) ndo walikuwa ni FOCAL POINT ya mauzo ya jersey domestically na Worldwide...
Takwimu mpya itakayotoka, itakuwa na sura mpya kabisa, Ambapo marketing board inategemea Firmino kupush mauzo ya jersey, na kama unanunua jersey katika online store ya LFC, utagundua kwamba katika signings mpya tulizofanya, mpaka sasa most ordered jerseys ni number 11 ya Firmino na Number 2 ya Nathaniel clyne, ambapo without a doubt, kwa sasa worldwide atatubeba ROBERTO FIRMINO..
Katika pre-season tours, financial statement ya mwaka huu, inaonyesha, tours zilizopitq misimu miwili iliyopita ile ya Asia na US zilikuwa na mafanikio makubwa, hence profit iliongezeka kwa 50% ukiachana na TV deals na new partneships, na jersey sales, ile Tour ya US ndo ilikuwa more succesful, ambapo safar hii tulienda Asian na hope ya kuraise kwa kila 2 friendilies £10million, ambapo tulifanikiwa Australia tu kupata hicho kiasi...lakin kwa Thailand na Malaysia, tulifail, na mategemeo yakawa ni kuraise £5m, lakin Thailand na Finland msimu huu tulibugi, Malyasia kidogo tulipata watu..