Whatever the case LFC is bigger than SG. Club haitamtegemea SG kwenye mauzo milele, SG angestaafu tu one day na sales zingeshuka. Changes are inevitable
Changes ar inevitable, lakin club haipo kwa ajili ya uwanjani tu, kuna mambo mengi yanayoifanya club iwe kubwa na kutanuka, STAR wa team anaondoka, unafanyaje kumreplace? Unafanyaje kuzuia mauzo ya jezi yasishuke? Ni hasara kubwa sana ambayo club itaipata kwasababu ya kudorora kwa mauzo ya jezi, tours za Asia na Finland, zmefanywa kwa hasara, kwasababu hazijaleta chochote kwenye table, club ilikuwa inategemea kukusanya hela kupitia hizi Tours, but lack of star players imetucost, hata kama SG anaondoka unatakiwa kumreplace mtu mwenye mvuto hata kama uwezo wake ulikuwa haushabihiani na wa yule aliyeondoka..mfano Bayern, kaondoka Bastian, haraka sana wame-replace na Arturo Vidal, thats how BIG CLUBS works, huwez ukawa unajiita mshabiki wa LFC afu ukafurahia mchezaji kama SG kuwa replaced na MILNER, unless kama umeanza kuijua LFC juzi tu...
Logic iliyopo hapa ni kwamba, you've to sign a Top player when Top player mwingine anavyoondoka..ili mapato ya clubs nje ya uwanja yasipungue, Tours hazifanywi tu kwa kujifurahisha, clubs zinakuwa zinafund pesa na kufungua masoko kwa nchi husika, mpango wa sahiv ni kusogea China, korea na japan, tutaweza vipi wakat club inapoteza mvuto? Takwimu zinaonyesha kuwa singapore, Malaysia na Thailand tumeshakuteka, but safar hii muitikio ulikuwa mdogo, mostly ni kwasababu hakuna ile morali ya mashabiki kwenda kuangalia team yao, coz NYOTA wale wa Club wanaondoka na kuuzwa kila baada ya msimu...next summer ataondoka Coutinho mtaendelea kusema "No player is bigger than LFC", ataondoka Firmino na mtasema hivyo hivyo, wataondoka kina Can mtasema hivyo hivyo...na utawezaje kucompete wakat kila kukicha unapoteza your best players????
SG is not bigger than LFC, but for the past 10 years (on his days), kailetea mafanikio club NJE NA NDANI YA UWANJA..MESSI akiondoka Barcelona, barca will never be the same, japokuwa he's NOT bigger than Barcelona...selling clubs huwa zina mchezo wa kuwaaminisha mashabiki kuwa players are not bigger than the club, sababu kubwa ya kuwaaminisha hivi ni kwa sababu selling clubs hata siku moja hazifanyagi replacements za maana, coz Top players wanapenda kucheza mpira na Top players wenzao.. Ukiwa selling club, utaishia kutengeza WC players na kuwauza, kisha kuwanunua wengine na kuanza kuwatengeza..na wakat huo huo unataka ucompete na clubs ambazo zinanunua WC players uliowatengeneza.