Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Subs...
chirivella for Milner...
Nimeona tuna talenti nyingi sanaa ila kocha hatuna huyu dogo kwa mipira aliogusa hakutakiwa kukosa mechi japo kwa dakika kumi
Subs...
chirivella for Milner...
Final
MAS 1 Liv 1
...good Save by Borgan at the end...
Nimeona tuna talenti nyingi sanaa ila kocha hatuna huyu dogo kwa mipira aliogusa hakutakiwa kukosa mechi japo kwa dakika kumi
Final
MAS 1 Liv 1
...good Save by Borgan at the end...
It was an okay performance to be honest, Ibe, Lallana, clyne had good game. Ibe amejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuanza kikosi cha kwanza.
Lovren has to make quick decision, Origi bado anahitaji muda na mambo mengi ya kujifunza maana napisha na crosses
Tuna wachezaji wazuri sanaa ila hatuna muunganishaji ila tim ina mafundi hasaa
Talents pale kwenye Academy zipo nyingi ila sidhani kama wote watapata playing time ya kutosha na kwa trend hii ya Rogers ya kununua 6+ players in a single season it slowly killing upcoming talents from academy.
Tumekuwa na shida ya DM, ila Rogers alimuachia Connor Coady free sijui hata ameenda kufia wapi, We had Adam Morgan nae sijui yupo wapi
Tuna Ibe, Teixiteira, jordan Rosister, Chilivera, Canos, Maguire hawa wote wanahitaji playing time ila kwa mwendo huu BR hawa wote sidhani kama watapa nafasi. Kuna wengine wanatakiwa wanatakiwa wapelekwe hata kwa mkopo.
Msimu huu BR atakuwa na challenges kwenye first eleven maana kutakuwa na competition ya namba, performance ya Lallana na Ibe wameonyesha viwango vizuri.
Ila bado nina matumaini msimu huu tunaweza tukawa na msimu mzuri
Sizani mii sioni anacho fundisha naona jitahada tu za wacheji kwa kocha mwingine kama krop tunge gombania ubingwa wachezaji wanatosha sana tu
Another shitty season chini ya Rodgers inakuja...
Bora kutafuta new hobbie tu,
Let's just hope its pre-season, they will turn up
Pearce anasema BR atatumia 4-3-3 msimu huu, so that means Firmino na Cou watakuwa kwenye Flanks, so kwa aina hyo ya mfumo usitegemee chochote msimu ujao..
Mkuu, baseball pia ina wapenzi wengi sana, unaweza kujaribu hiyo halafu ukiona Benteke anamimina magoli kama maji basi unaweza kurudi. Sisi na Liver yetu ni damu damu.Another shitty season chini ya Rodgers inakuja...
Bora kutafuta new hobbie tu,
Nani ata-play behind the strike? Lallan?
Migs
Cyline Skirtel Sakho Gomez
Hendo Milner
Firmino Coutinho Emre/Ibe
Sturidge/Benteke
Mignolet
Clyne Skirtel Sakho Gomez/Moreno
Hendo/Emre Milner Coutinho/Teixeira Ibe
Firmino
Benteke