Msimu huu signings zote ni za BR...
Kwahiyo signings hizi za kina Benteke ndiyo mwisho wake wa kufikiri. Pmbavu sana
Msimu huu signings zote ni za BR...
Adelaide fc vs liverpool. Saa 06:30 mchana leo hii
Salama tu brother, Pamoja saaaaana!!!!!
Yeah, Gomez kaonesha uwezo sana kwenye hizi pre-season games.. (2)..
Your thoughts on Benteke????
Nipo mbele ya tv hapa azam wamenifaa sana maana hizi mechi sizionagi
Olrigi hana taiming nzur anapishana sanaa na pasi za magoli mechi zote nimeona hilo
Naona vijana wameanza vizuri, Origi nakosa chances mbili hapa
Naona vijana wameanza vizuri, Origi nakosa chances mbili hapa
Olrigi hana taiming nzur anapishana sanaa na pasi za magoli mechi zote nimeona hilo