Tumekaa muda mrefu tukijadili na kufuatilia dirisha la usajili jinsi linavyokwenda. Kila chanzo cha habari kikisema lake. Asilimia kubwa ya yale yanayokuwa yametawala vyombo vingi ni habari za kukisia, kusadikika na udaku. Naweza kusema pre season itatupa ahuweni na kutupumzisha na purukushani hizi zenye habari kemkem za kuumiza vichwa.
Pre season inanipa wasaa wa kuzipa kisogo kidogo habari za usajili na kwanza kufanya tathmini ya timu yangu baada ya kuiona kwenye mechi mbili za utangulizi ambazo imeweza kuzishinda timu za Thai All stars na hivi leo timu ya Brisbane
Wachezaji tuoendelea nao
Nimetupia jicho kwa wachezaji tulikuwa nao toka msimu uliopita na kuna machache ambayo nimeyaona
Mignolet...hakuwa na kazi yoyote kutoka na aina ya ushindani tuliokutana nao. Kolo was ok in both two games, Sakho
apart from ugonjwa wake wa kujigongagonga ambao umejitokeza tena, his is in a good shape with two thumping headers
one resulted to a goal. Skrtel amezubaa and looks like he is still in holiday
as for Loveren he look ok. Lucas has been composed and dictated the game well, especially kwenye match na Bris. Lallana amerejea na speed nzuri akifunga kwenye game zote mbili, markovic performed well when played behind the striker
no changes kwa Lambert, kwa Ibe naweza kusema ameanzia pale alipoishia, sharp with speed but bado anakosa maamuzi sahihi. Mchezaji ambaye amefanya vyema mpaka sasa ni Hendo, physical, and tricky at times
rabona assist to Lallana
probably ni katika kuonyesha kwamba jukumu alilopewa analiweza
Academy/Reserves
The game against Thai, wisdom looked uncomfortable played as LB
nafikiri kwenye baadhi ya gemu za msimu uliyopita tulimuona rossiter and what I can say is that he looked promising
akicheza kwa kushirikiana na marko, teixeira played well and registered himself with the assit to markos goal
kwenye gemu ya leo we got the chance to see the other talent on Kent, he has speed but he needs time to develop. I think the one who comes on top of all the kids is Maguire, defending well, busting forward and coursing problems with his crosses
Wachezaji wapya
Like Mignolet, Bodgan also didnt have much to do
tumezoea kumuona clyne akipanda sana kusaidia mashambuli wakati akiwa soton, but it was opposite on these two matches
I think kile ambacho kinatarajiwa kwa Milner kimeanza kuonekana, he works hard and leading by example. Leo nimemuona akiongeza zaidi na wachezaji wengine kuliko hendo
Ings needs to pull up his sox
Origi is very good on his runnings especially behind the defenders, and hes got aerial threats as well
the one looks very promising is Gomez
played out of positions but he didnt put his foot wrong