Kipindi cha Kwanza kilikuwa kizuri, ila wachezaji wetu wana miss decision making kama ule mpira aliyopiga Clyne kwenye edge of penalty box.
Gomez yupo vizuri japo si left back, He doesn't look like he's 18 yrs. I like his calmness, stability and movements
Jordon Ibe is star man, good movement