Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

habari zenu, mimi ni mgeni humu ila huwa siku haipiti sijasoma hii thread ya lfc ila nimejiunga rasmi na ni mwanamke hvyo nimependa kujitambulisha ili mnitambue mfuasi mwenzenu

Karibu sana Zahati. Jisikie upo miongoni mwa ndugu zako. YNWA.
 
Karibu jukwaani bibie Zahati

Pata kuwa tambua the magnificent MosDef Tisha-TOTO mak89 Janjaweed Malafyale Mzee @wa Rubisi and more fans here of LFC

Ila kuna wengine hupenda kushinda shinda humu ila siyo LFC fans kama Ntuzu na kalou

Kuna wa jinsi yako wakuitwa everlenk yeye wa mashetani kule ila naye anashinda shinda huku

Bila kusahau wanafki na wazandiki wanaopita pita humu chukua muda wako kwa kupitia comments zao utawajua

ahsante sana kwa mapokezi mazuri
 
Last edited by a moderator:
habari zenu, mimi ni mgeni humu ila huwa siku haipiti sijasoma hii thread ya lfc ila nimejiunga rasmi na ni mwanamke hvyo nimependa kujitambulisha ili mnitambue mfuasi mwenzenu
karbia na barca pia maana.ukiwa barca.na.ukiwa liver ni kama WALI NA MAHARAGE KWA MTOTO JINS UNAVYONOGA
 
habari zenu, mimi ni mgeni humu ila huwa siku haipiti sijasoma hii thread ya lfc ila nimejiunga rasmi na ni mwanamke hvyo nimependa kujitambulisha ili mnitambue mfuasi mwenzenu

Karibu sana sana tena Sana.....utakuwa Mtani Wangu kamili tutacheka na kulia pamoja sometimes tunaweza peana vikumbo chukulia kawaida tu maana ndo jukwaa linanoga,kwahiyo mumy usiniogope kabisa........naanza kama hivi....Mtani Wangu kikubwa ukiwa humu LFC uwe na moyo wa chuma kweli kweli kushabikia timu hii uwe the die hard fan ya Blendan utayaweza wewe? You will never win again......lol....nakukaribisha tu mtani.
 
Karibu jukwaani bibie Zahati

Pata kuwa tambua the magnificent MosDef Tisha-TOTO mak89 Janjaweed Malafyale Mzee @wa Rubisi and more fans here of LFC

Ila kuna wengine hupenda kushinda shinda humu ila siyo LFC fans kama Ntuzu na kalou

Kuna wa jinsi yako wakuitwa everlenk yeye wa mashetani kule ila naye anashinda shinda huku

Bila kusahau wanafki na wazandiki wanaopita pita humu chukua muda wako kwa kupitia comments zao utawajua

Hahahahha!!! Hatimaye nanyi mmepata appetizer la ukweli......afadhali lakini root zangu za humu zitapungua....bado Ntuzu jukwaani kwao hamna appetizers za ukweli.....uwe makini kumlinda asipokuwa the die hard fan usishangae ukamkuta kule kwetu anaogelea mapesa, Chezea OT weweee!!!!
 
Last edited by a moderator:
Karibu jukwaani bibie Zahati

Pata kuwa tambua the magnificent MosDef Tisha-TOTO mak89 Janjaweed Malafyale Mzee @wa Rubisi and more fans here of LFC

Ila kuna wengine hupenda kushinda shinda humu ila siyo LFC fans kama Ntuzu na kalou

Kuna wa jinsi yako wakuitwa everlenk yeye wa mashetani kule ila naye anashinda shinda huku

Bila kusahau wanafki na wazandiki wanaopita pita humu chukua muda wako kwa kupitia comments zao utawajua
nadhani atakuwa na uvumilivu maana mafanikio si leo kwa mwendo huu wa rogers karibu bibe Zahati, accept challenges kutoka everlenk ila yote kuna Nzi pia
 
Jordan Henderson was voted to appear alongside Messi on FIFA 16, ukcover. haters are still lamenting, #fanbase worldwide
 
sasa si kila siku unakosaga usingizi?! mpaka BR afukuzwe lazima utaumwa ugonjwa wa usingizi. msimu unaoanza tafuta kabisa kazi ya ulinzi.

Hahaaaaa, dah jamani tumpe matumaini kidogo, asije akakimbia jukwaa
 
Hahahahha!!! Hatimaye nanyi mmepata appetizer la ukweli......

Ndiyo raha ya jukwaa inapoanza

afadhali lakini root zangu za humu zitapungua....

Usianze tafuta sababu mapema za kujificha nitakufata hata kwenye mchepuko

bado Ntuzu jukwaani kwao hamna appetizers za ukweli.....

Ile rangi wakike hawaipendi 😀😀

uwe makini kumlinda asipokuwa the die hard fan usishangae ukamkuta kule kwetu anaogelea mapesa, Chezea OT weweee!!!!

Hawezi kimbia humu Kwa jinsi tutakavyo mpetipeti na akisikiliza YNWA song she will stay here forever
 
Last edited by a moderator:
Bado kitambo kidogo Sana #LFC tutoke kwenye Hili tunnel... Golden sky ileee. #YNWA Karibu Sana Kopitelady kwa hii family. You'll Never Walk Alone
 
Ndiyo raha ya jukwaa inapoanza
Haswaaa!!! Chakula kikiwa na appetizer chanoga zaid...

Usianze tafuta sababu mapema za kujificha nitakufata hata kwenye mchepuko
hahaha mimi huyo wa kujificha hapana aisee!! Labda unifukuze.....

Hawezi kimbia humu Kwa jinsi tutakavyo mpetipeti na akisikiliza YNWA song she will stay here forever
mhh!! You never win again....lol....ndo mumtunze kabebi Kenu la sivyo ntakaiba....BTW Hongereni sana kwa usajili ya ntu sita chap chap...lol
 
Hahaaaaa, dah jamani tumpe matumaini kidogo, asije akakimbia jukwaa

daktar ameshasema mrudisheni mgonjwa mkamtibie nyumbani!' utampa matumaini gani ........... kocha mwenyewe kiazi unategemea watafanya nini!' wakijitahidi sana nafasi ya 7 au ya 8.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom