Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ahsante Man City kwa 49M + Milner QPR watapata 8m Yao safi Kabisa Raheem akakalie jiti!!!! Sasa Pesa itumiwe kwa Maana na Msimamo wangu upo Palepale nasubiri na Brendan Rogers kuondoshwa.

Mkuu imekuwaje tena?
 
asante sana malafyale ila mi niko mwanza
Katika watu nilijuwa atakuuliza unakaa wapi basi ni Malafyale tehteh sasa subiri atakuuliza unakaa na Nani?. Karibu zahati Humu ligi ikianza kuna viutani kwahiyo vikitokea vizoeee kuna watu wa ukumbi mwengine hushinda Humu tunawapa Duvet la Liverpoolfc walalie basi Raha yake wanajisahau wanaishia humuhumu wanajijua.
 
Mkuu imekuwaje tena?
kaka Tupo si unajuwa tumekuwa mid table team Tunagombania Players pamoja na vitimu Kama Newcastle yote haya Rogers utasikia kaenda tena Southampton au Hull kutafuta players. Zahati nimesahau hata kukukaribisha ila Kuwa makini sana na Malafyale.
 
Hakuna tetesi zozote mbaya leo zikimuhusu BR? Maana nakesha usiku na mchana nikimuombea nyota yake ififie fasta.

"Nlikuwepo":bolt:
 
FSG katika ubora wao, LOL.....Raheem Sterling for £49m...HAHAHAHAHAHAHAHAHAH
ImageUploadedByJamiiForums1436822836.499197.jpg
 
Carragher saying our number 1 target is Benteke, and we'll be adding 1 or 2 players before the window shuts..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom