Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kuna mambo mengi yanaendelea behind the scenes, ila uhakika nahisi tutapata next week..

FSG wanatakiwa wafanye kitu kitakachoonesha wana malengo na club, Klopp au CA wataongeza munkari ya team, siyo kwa players tu bali kwa fans wote pia wa LFC duniani..

Let's wait and See, 3rd june should interesting..
 

Kilichopo ni kwamba kila ntu kamchoka BR.....aende tu....hana jipya.....
 
Tuna options 2;Klopp na Ancelotti
Lzm BR aondoke Jumatano ijayo
 
Tume bid kwa Kovacic lkn source inasema ni Milion 10 tukimpeleka pia Lucas Leiva

Kumuondoa Leiva ambaye ana uzoefu sana na EPL siungi mkono
 
Kaizer nawe ni YNWA?????????? Hahahahahahahahahahahaha poleeee...
 
Last edited by a moderator:
Tume bid kwa Kovacic lkn source inasema ni Milion 10 tukimpeleka pia Lucas Leiva

Kumuondoa Leiva ambaye ana uzoefu sana na EPL siungi mkono

BR hajawahi kumpenda wala kumubali lucas tangu amefika Liverpool kilichomfanya Lucas kuwepo mpaka leo ni lile jeraha lake lilo muweka nje msimu mzima bila hivyo angekuwa ameondoka
 
Wazee wa historia kazeni buti. Europa hiyo inyakueni mwakani.
 
Ben Out Napoli=Ben In R. Madrid

Klopp Out BvB=Klopp In Napoli

Ancelotti Out R.Madrid=Ancelott REST NOW

BR still LFC=BR continues???🙇🙇
 
Jurgen Klopp is keen on Liverpool but will not join the Reds if FSG keeps the Transfer Committee. He does not want to manage a club that signs players based on the judgement made by four people sitting in the committee. He doesn't want a repeat of what happened to Brendan Rodgers. (Mirror)
 
Ben Out Napoli=Ben In R. Madrid

Klopp Out BvB=Klopp In Napoli

Ancelotti Out R.Madrid=Ancelott REST NOW

BR still LFC=BR continues???🙇🙇

Kama BR ataendelea kubaki kwa jinsi hali ilivyo,sina shaka atakuwa kauroga uongozi mzima.
"Nlikuwepo":bolt:
 
Ingawa siwaamini the sun lakini mpaka wanasema Sterling naye anataka kusepa kwa sababu ya BR duuuhhh
🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…