Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

GET READY FOR SHITTY SUMMER AND ANOTHER SHITTY SEASON AHEAD

BENTEKE FOR £32m PEOPLE!!! ANOTHER ANDY CAROLL IN THE MAKING.
 
Duh!! MosDef taratibu aiseee .......usijali muda utaongea ukifika tu ataondoka.....

Can't see him leaving mwisho wa msimu huu, reliable people wengi wanasema he's safe, but june baada ya mapitio ya msimu wote, tutaona FSG watakachoamua, but zaid ya transfer committee kuvunjwa, sioni Rodgers akiondoka, na hiyo inamaanisha tutakuwa na msimu mwingine m-baya kama BR akiendelea kuwepo, he's just out of his depth..

BTW, congrats kwa kurudi TOP FOUR, you deserved it kuliko sisi coz mlionyesha mnaihitaji zaidi, though you had a bad season kama sisi lakin hatukuwa bothered sana kama nyie kwanzia kwenye signings, tactics mpaka determination uwanjani, HONGERA SANA.
 
Last edited by a moderator:
Sterling ni winger,(Baloteli,Lambert,Borini,Sturidge) ndio striker wa Liverpool

Kwani Messi ni striker?
Neymar ni striker?
Fellain ni striker?
Sanchez ni striker?
Hazard ni striker?

Mbona hao tajwa juu sio ma striker wameziokoa sana teams zao?RH ni game gani ambayo hasa ndiyo alitubeba?

Fundi ni fundi tu hata acheze namba 3 atafunga tu
 
Hazard ana goal 8 tu..but ndo mchezaji bora chelsea, kazi yake ni kutengeneza nafasi uwanjani, RS ana kina MB mbele, that's why anaonekana shit sometimes, kinachoboa kwa Raheem ni kupoteza nafas nyingi uwanjani, hali itazid kuwa mbaya kwa kina RS na Cou kama wakiletewa Benteke, yaani hakuna ubishi kabisa kuwa jamaa atabuma LFC, he'll never suit our style, he's not a Versatile ST..

Nlikesha usiku na mchana nikisali Bony asije LFC, I guess sahv ntaanza kuomba kwa nguvu zote Benteke asije LFC, imagine having Benteke, Sturridge, Ings, origi kama STs wako...HAHAHAHA..I understand why Raheem wants out,
 
Hazard ana bao 14 za EPL
 
Can't see him leaving mwisho wa msimu huu, reliable people wengi wanasema he's safe, but june baada ya mapitio ya msimu wote, tutaona FSG watakachoamua, but zaid ya transfer committee kuvunjwa, sioni Rodgers akiondoka, na hiyo inamaanisha tutakuwa na msimu mwingine m-baya kama BR akiendelea kuwepo, he's just out of his depth..

BTW, congrats kwa kurudi TOP FOUR, you deserved it kuliko sisi coz mlionyesha mnaihitaji zaidi, though you had a bad season kama sisi lakin hatukuwa bothered sana kama nyie kwanzia kwenye signings, tactics mpaka determination uwanjani, HONGERA SANA.

BR ananipa hasira sana uwepo wake, sometimes huwa nafikia hatua ya kuwaza kama tumeshindwa kupata manager kabisa ni bora wamrudishie team King Kenny Daglish aisee, mwenye mbinu za ku win vikombe, sio uyu BR hata mbinu za ku win kombe hana. Sasa juzi FA tena dhidi ya team kama Aston Villa na tumetangulia kwa goli moja eti anachemsha dah.
 
Hao waondoke tu!Mediocre players

RS games zaidi ya 30 EPL bao 7!Aondoke tu hana jipya

na katka mechi zote hizo kafanyiwa sub haizid mara 3;: na hajatusaidia sana;: nlimchukia sana kwenye game dhid ya Man u mwaka jana
 
Hazard ana goal 8 tu..but ndo mchezaji bora chelsea, kazi yake ni kutengeneza nafasi uwanjani, RS ana kina MB mbele, that's why anaonekana shit sometimes, kinachoboa kwa Raheem ni kupoteza nafas nyingi uwanjani, hali itazid kuwa mbaya kwa kina RS na Cou kama wakiletewa Benteke, yaani hakuna ubishi kabisa kuwa jamaa atabuma LFC, he'll never suit our style, he's not a Versatile ST..

Nlikesha usiku na mchana nikisali Bony asije LFC, I guess sahv ntaanza kuomba kwa nguvu zote Benteke asije LFC, imagine having Benteke, Sturridge, Ings, origi kama STs wako...HAHAHAHA..I understand why Raheem wants out,

Msimu tumetoka kapa kabisa na msimu ujao hatujui kama tutaeleweka au la na hawa mediocre players. Rogers is looking for potential players, its time now for FA to have potential league, BR ameshindwa ku-attract proved and matured player siyo lazima wawe waingereza Liverpool haijapewa jukumu la kuwa academy ya England.

Tumeona msimu huu hatuna defensive mid-fielder tuliye naye ni Lucas Leiva na Emre Can (anachezeshwa kama beki) pale Bayern Munich kuna fundi anaitwa Javier "Javi" Martinez anasugua bench tu chini ya Pep, this is a type of player Liverpool should be linked for siyo Milner we have quite good number of wingers.
Ushambuliaji, katika safu hii hatuna jinsi maana strikers ambao wana fit kwenye mfumo wetu hatuna uwezo wa kuwachukua, ila Jovetic anafit ila ni Sturridge version 2 anaweza na yeye kucheza mechi 10 za ligi na 20 majeruhi. Kwa mpira wetu Origi,Balotelli na Borini hawawezi cheza kwa mafanikio kabisa, ni Lambert tu ambaye ana fit na mfumo wetu ila hana kasi nadhani mtumeona kwenye mechi Vs chelsea ambapo Countinho alimwekea mpira kwenye space ila sababu ya umri na speed hakuweza kufika kwenye mpira kwa wakati. Kuna mtoto mmoja wa kiuruguay I think he has all attributes to be our marksman, huyu kijana anauwezo wa kutokea kwenye flanks,mid na ana speed to match up na wachezaji tuliyo nao anaitwa Jonathan Rodriguez yupo pale Benfica natumai tutamuona kwenye copa america.

Tuna shida kwenye full backs na centre backs, let's hope Flanno stay injury free next season na asaini mkataba mpya (ila nae ni jihad sana ndo maana akiumia kidogo tu its a big issue) na tumrudishe Andre Wisdom, Moreno deal hasn't turned out as we expected, he has been caught off position several times( its among our weak point), offensively the lad is good. Kwa centre backs, Kolo toure should be off-loaded and bring back Tiago Illori na Coates ( nadhani mmemuana anachofanya lately baada ya kupata namba na kuaminiwa na Dick Advocaat pale Sunderland Muruguay mwenzake alikuwa anaua kipaji chake tu).

Mi bado nina imani tuna wachezaji wenye uwezo wa kufanya makubwa kwa kuwa BR hana dalili za kufukuzwa pale basi ajichange tu vizuri na awe flexible and reasonable Sterling si Messi pale Liverpool hata akiwa floppy basi lazima amalize 90 minutes????

FSG sidhani kama hawa jamaa watatoa mzigo wa kutosha maana walitoa our impersonate Bill Shankly blew it away nahisi watafanya yale mambo ya kina Hicks na Gillet kama hatutafanya changes with immediate effect I'm afraid to say next season will be as fruitful as Roy Hodgson season
 
Kuna taarifa inadai kua Wisdom anarudi, ila kwa Benteke ni mara mia Edin Dzeko. Kwengineko Lacazatte ama Dyabala mmoja angetufaa. Nikimtazama Dyabala move zake namuona LS7 kabisa (hapa simaanishi Dyabala ni sawa na LS7).
 
Msimu tumetoka kapa kabisa na msimu ujao hatujui kama tutaeleweka au la na hawa mediocre players. Rogers is looking for potenti
al players, its time now for FA to have potential league, BR ameshindwa ku-attract proved and matured player siyo lazima wawe waingereza Liverpool haijapewa jukumu la kuwa academy ya England.

Tumeona msimu huu hatuna defensive mid-fielder tuliye naye ni Lucas Leiva na Emre Can (anachezeshwa kama beki) pale Bayern Munich kuna fundi anaitwa Javier "Javi" Martinez anasugua bench tu chini ya Pep, this is a type of player Liverpool should be linked for siyo Milner we have quite good number of wingers.
Ushambuliaji, katika safu hii hatuna jinsi maana strikers ambao wana fit kwenye mfumo wetu hatuna uwezo wa kuwachukua, ila Jovetic anafit ila ni Sturridge version 2 anaweza na yeye kucheza mechi 10 za ligi na 20 majeruhi. Kwa mpira wetu Origi,Balotelli na Borini hawawezi cheza kwa mafanikio kabisa, ni Lambert tu ambaye ana fit na mfumo wetu ila hana kasi nadhani mtumeona kwenye mechi Vs chelsea ambapo Countinho alimwekea mpira kwenye space ila sababu ya umri na speed hakuweza kufika kwenye mpira kwa wakati. Kuna mtoto mmoja wa kiuruguay I think he has all attributes to be our marksman, huyu kijana anauwezo wa kutokea kwenye flanks,mid na ana speed to match up na wachezaji tuliyo nao anaitwa Jonathan Rodriguez yupo pale Benfica natumai tutamuona kwenye copa america.

Tuna shida kwenye full backs na centre backs, let's hope Flanno stay injury free next season na asaini mkataba mpya (ila nae ni jihad sana ndo maana akiumia kidogo tu its a big issue) na tumrudishe Andre Wisdom, Moreno deal hasn't turned out as we expected, he has been caught off position several times( its among our weak point), offensively the lad is good. Kwa centre backs, Kolo toure should be off-loaded and bring back Tiago Illori na Coates ( nadhani mmemuana anachofanya lately baada ya kupata namba na kuaminiwa na Dick Advocaat pale Sunderland Muruguay mwenzake alikuwa anaua kipaji chake tu).

Mi bado nina imani tuna wachezaji wenye uwezo wa kufanya makubwa kwa kuwa BR hana dalili za kufukuzwa pale basi ajichange tu vizuri na awe flexible and reasonable Sterling si Messi pale Liverpool hata akiwa floppy basi lazima amalize 90 minutes????

FSG sidhani kama hawa jamaa watatoa mzigo wa kutosha maana walitoa our impersonate Bill Shankly blew it away nahisi watafanya yale mambo ya kina Hicks na Gillet kama hatutafanya changes with immediate effect I'm afraid to say next season will be as fruitful as Roy Hodgson season

umenkumbusha Rickie Lambert na ile pasi aliyopewa na Henderson:; hapo ndo nliamini huyu kweli kashakua mzee
 
Msimu tumetoka kapa kabisa na msimu ujao hatujui kama tutaeleweka au la na hawa mediocre players. Rogers is looking for potential players, its time now for FA to have potential league, BR ameshindwa ku-attract proved and matured player siyo lazima wawe waingereza Liverpool haijapewa jukumu la kuwa academy ya England.

Tumeona msimu huu hatuna defensive mid-fielder tuliye naye ni Lucas Leiva na Emre Can (anachezeshwa kama beki) pale Bayern Munich kuna fundi anaitwa Javier "Javi" Martinez anasugua bench tu chini ya Pep, this is a type of player Liverpool should be linked for siyo Milner we have quite good number of wingers.
Ushambuliaji, katika safu hii hatuna jinsi maana strikers ambao wana fit kwenye mfumo wetu hatuna uwezo wa kuwachukua, ila Jovetic anafit ila ni Sturridge version 2 anaweza na yeye kucheza mechi 10 za ligi na 20 majeruhi. Kwa mpira wetu Origi,Balotelli na Borini hawawezi cheza kwa mafanikio kabisa, ni Lambert tu ambaye ana fit na mfumo wetu ila hana kasi nadhani mtumeona kwenye mechi Vs chelsea ambapo Countinho alimwekea mpira kwenye space ila sababu ya umri na speed hakuweza kufika kwenye mpira kwa wakati. Kuna mtoto mmoja wa kiuruguay I think he has all attributes to be our marksman, huyu kijana anauwezo wa kutokea kwenye flanks,mid na ana speed to match up na wachezaji tuliyo nao anaitwa Jonathan Rodriguez yupo pale Benfica natumai tutamuona kwenye copa america.

Tuna shida kwenye full backs na centre backs, let's hope Flanno stay injury free next season na asaini mkataba mpya (ila nae ni jihad sana ndo maana akiumia kidogo tu its a big issue) na tumrudishe Andre Wisdom, Moreno deal hasn't turned out as we expected, he has been caught off position several times( its among our weak point), offensively the lad is good. Kwa centre backs, Kolo toure should be off-loaded and bring back Tiago Illori na Coates ( nadhani mmemuana anachofanya lately baada ya kupata namba na kuaminiwa na Dick Advocaat pale Sunderland Muruguay mwenzake alikuwa anaua kipaji chake tu).

Mi bado nina imani tuna wachezaji wenye uwezo wa kufanya makubwa kwa kuwa BR hana dalili za kufukuzwa pale basi ajichange tu vizuri na awe flexible and reasonable Sterling si Messi pale Liverpool hata akiwa floppy basi lazima amalize 90 minutes????

FSG sidhani kama hawa jamaa watatoa mzigo wa kutosha maana walitoa our impersonate Bill Shankly blew it away nahisi watafanya yale mambo ya kina Hicks na Gillet kama hatutafanya changes with immediate effect I'm afraid to say next season will be as fruitful as Roy Hodgson season

Kina pearce wanasema FSG wametoa HELA nyingi kwa ajili ya ST, (£32-35m) but ndo hivyo tunakuwa linked na Benteke, na kama Rodgers anatamsign Benteke kwa hicho kiasi na akabuma, hiyo signing itamcost kazi yake kama KD kwa Caroll..

Nina uhakika 100% Benteke atabuma LFC..
 
Kuna taarifa inadai kua Wisdom anarudi, ila kwa Benteke ni mara mia Edin Dzeko. Kwengineko Lacazatte ama Dyabala mmoja angetufaa. Nikimtazama Dyabala move zake namuona LS7 kabisa (hapa simaanishi Dyabala ni sawa na LS7).

Dybala to Juve is all but done, hiyo ishu ya wisdom ndo imeniumiza sana moyo, GJ akiondoka tutabak na RB wawili kwenye kikosi manquillo na Flanno, ambapo flanno yupo nje kwa majeruhi, kama plan ni kumrudisha wisdom acheze namba mbili then we're fucked, Kike anasema We're in for Montoya, kama tumeamua kuipiga move ya montoya chini kisa Wisdom ambaye ni squad player kwenye team kama WBA aje kucheza kama first choice RB utakuwa ni ujinga wa hali ya juu kuwahi kufanywa na LFC..
 
Kina pearce wanasema FSG wametoa HELA nyingi kwa ajili ya ST, (£32-35m) but ndo hivyo tunakuwa linked na Benteke, na kama Rodgers anatamsign Benteke kwa hicho kiasi na akabuma, hiyo signing itamcost kazi yake kama KD kwa Caroll..

Nina uhakika 100% Benteke atabuma LFC..

Ndugu, Benteke hatumpati hata kidogo yule anaenda chelsea as a replacement ya Drogba ambaye mpaka sasa hivi hajaongezewa mkataba mpya nadhani unajua ni wachezaji wangapi we have been linked to and snatch them.

Tusubilie
tuone hayo maajabu ya kupata stiker wa maana na huyu manager tuliye nae
 
umenkumbusha Rickie Lambert na ile pasi aliyopewa na Henderson:; hapo ndo nliamini huyu kweli kashakua mzee

Rickie Lambert shida ni umri ulishamtupa na hana speed ila ni striker mzuri. Sasa hivi tunashida ya kupata striker ambaye anaweza run behind defenders na kukicreate chances na kuscore
 
Kuna taarifa inadai kua Wisdom anarudi, ila kwa Benteke ni mara mia Edin Dzeko. Kwengineko Lacazatte ama Dyabala mmoja angetufaa. Nikimtazama Dyabala move zake namuona LS7 kabisa (hapa simaanishi Dyabala ni sawa na LS7).

Mr. Wise, Edin Dzeko hatuwezi kumpata na si type ya striker we need, he's good but he lack pace. Dyabala yule kuna possibility kubwa kwenda kwa Allegri kuliko kuja kwetu, dyabala ni type ya striker tunaye muhitaji ila hatutampata na yeye yupo kwenye mgomo wa mkataba mpya anataka kwenda barcelona baada ya ban yao kuisha au hata Juve.

Kuna huyo dogo hapo (jonathan Rodriguez) wa Uruguay ni jamii Suarez nadhani baada ya copa america atapanda dau sana kwa sasa hata 10m £ hafiki ila subiria copa america iishe tutaona Benfica watakavyofanya biashara kama kawaida yao.

Na shida yetu ya Mid-fielder tunashindwa kwenda kwa Javi Martinez???? Hivi scouting team yetu haijamuona.

We need a goalie, its high time now to part ways na Brad Jones, he has been a loyal servant to us but we need Quality not quantity.

Raheem Sterling, huyu dogo kwa namba ya games alizocheza msimu huu nadhani hicho ndo kiwango chake I don't think kama kutakuwa na improvement yeyote kubwa kutoka kwake najua watu watasema he's still young, C.Ronaldo came into prominence at that age na improvements were seen day in day out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom