mwongo ww.msafara ulikuwa wa kawaida na pikipiki za kawaida kwani kila mwendesha pikipiki alilipwa 8,000.slaa aliingia mjini mida ya saa 8 na ushee hivi akaelekea savoy .mie nipo hapa kwenye viwanja vya k/ndege panapofanyika mkutano.kila mtu hapa mjini anaendelea na shughuli zake kama kawaida.utadhani hakuna mkutano.tunamshukuru mungu kuwa chadema wameshika adabu.ila matusi hapa mkutanoni kama kawaida.vibaka wamejaa usiseme.wenyewe (vibaka)wanasubiri litokee jambo wafanye kazi yao.ila sasa ni saa 12 na dakika 5 inaelekea wamepiga chini.babu hana jipya.yaleyale.:embarassed2::embarassed2:
Nami nipo hapa mkutanoni nataka nianze kurusha picha mdogo mdogo

Hapana mkuu siyo kamati ya ufundi.kamati ya ufundi? sasa mbona unaweka hadharani
Dr anamalizia wakuu hv
Na usafiri bila kusahau posho na pesa ya mafuta ya pikipiki...Mkuu kila kukicha nazidi kuamini mwaka 2015 ni mwisho wa CCM...Crashwise
Tehe tehe tehe. Najua unamaanisha nini.
Si mahali pake. Mikutano ya CHADEMA wakija ni wale wakali wa kughani nyimbo za maisha, haki za watu...wapiganaji.
Watu wanakuja kwa kutangaziwa...muda si mrefu wanaCHADEMA watakuwa wanakusanyika kwa kutangaziana kwenye nyumba kumi kumi na mabalozi wao.
ww kweli umeishiwa!kwani picha ndio kigezo!dunia ya sasa ni ya teknolojia.utaonyeshwa hata ww upo mkutanoni wakati haupo.come on ndugu yangu>amka.:disapointed:
mwongo ww.msafara ulikuwa wa kawaida na pikipiki za kawaida kwani kila mwendesha pikipiki alilipwa 8,000.slaa aliingia mjini mida ya saa 8 na ushee hivi akaelekea savoy .mie nipo hapa kwenye viwanja vya k/ndege panapofanyika mkutano.kila mtu hapa mjini anaendelea na shughuli zake kama kawaida.utadhani hakuna mkutano.tunamshukuru mungu kuwa chadema wameshika adabu.ila matusi hapa mkutanoni kama kawaida.vibaka wamejaa usiseme.wenyewe (vibaka)wanasubiri litokee jambo wafanye kazi yao.ila sasa ni saa 12 na dakika 5 inaelekea wamepiga chini.babu hana jipya.yaleyale.:embarassed2::embarassed2:
tatizo lenu mnajifanya mnajua sana.leo mmeumbuka hapa moro.great thoughts speak only to the thoughtful mind,but great actions speak to all mankind.inaelekea ww unasoma shule za kata au ulipitia huko.the man who follows the crowd will usually get no further than the crowd.the man who walks alone is likely to find himself in places no one has ever been.tafuta mwalimu wa kiingereza akutafsirie.

Naendelea kutupiamo mie mpaka Magamba wanune