Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Mwigamba:
Tumedhamiria kuanzisha sera za majimbo ili kuweza ku-decentralize majukumu kwa maslahi ya watanzania, ni mfumo unaopunguza majukumu kutoka makao makuu
 
Inafunguliwa kwa Sala ya Dini ya

Kiislam imeanza na itafuata ya Kikristo!
 
Mwigamba:
Tumedhamiria kuanzisha sera za majimbo ili kuweza ku-decentralize majukumu kwa maslahi ya watanzania, ni mfumo unaopunguza majukumu kutoka makao makuu
Safi sana mkuu!
 
Jaribu kufanya mkutano wenu kiungwana siyo tena muanze kutoa namba za simu za Spika na Naibu wake.

Sheria itakuchukuwa mkondo wake.

Mamalaka ya mawasiliano kushirikiana na jeshi la Polisi wamejipanga.
 
mwenyekiti wa mkoa wa Tanga anapanda jukwaani anaitwa Bweto, anapiga ccm kusema kanda ya kazikazini ni wakristo na makabila tofauti kwani kwenye kikao walijikuta wako makabila zaidi ya 20 na dini zaidi ya tatu, hivyo ccm tuwapotezee kwa propaganda zao za kipuuzi..
 
Jaribu kufanya mkutano wenu kiungwana siyo tena muanze kutoa namba za simu za Spika na Naibu wake.

Sheria itakuchukuwa mkondo wake.

Mamalaka ya mawasiliano kushirikiana na jeshi la Polisi wamejipanga.

Acha kuvuruga thread za Chadema.Mbona hukuonekana kwenye ushindi wa vitongoji huko Magu?
 
Mkuu LiverpoolFC bado mnarelebisha mitambo? hiyo redio ninahamu kusikia makamanda live
 
Basil Lema Sijui ndiyo huyu Katibu wa Mkoa wa Kilimanjaro ngoja tutamjua tu!
 
Last edited by a moderator:
Hali ilivyo
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1361196588046.jpg
    uploadfromtaptalk1361196588046.jpg
    113 KB · Views: 84
Basil Lema anasema kinga ya mafisadi imepatikana ni chadema mara tatu mara tano kwa wiki siku mbili za maombi, anasema ongeeni na ndugu zenu wajomba, shangazi juu ya hili..
 
Mzee mzma fundi kira
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1361196656918.jpg
    uploadfromtaptalk1361196656918.jpg
    61.7 KB · Views: 78
Ritz;

Toa ujinga wako hapa! Na wajaribu kumkamata raia yeyote!

Back
Top Bottom