Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

KOMBAJR; Umeoonaeeeeee!! Shaka ondosheni!


wazo la msingi sana inapokuwa ni matukio ndani ya arachuga daima huwa sinashaka kwa covarage inayoshamirishwa na picha uwepo wa crashwise hauna ubishi!
 
Last edited by a moderator:
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu

Mkuu hizo akili za kubebewa jaribu kuchanganya na yako kidogo...
 
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu

Hivi Itv iko wap? na star tv iko wapi pia?
 
mkuu usijari muda si mrefu tutaanza kurusha tuko kamili..Mungi, Liverpoolfc na makamanda wengine..
 
Kwa sasa kazi imeanza rasmi kwa sasa utambulisho wa madiwani wa hapa jijini!
 
Jman m ntakuwa natoa update za picha zaidi
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361195057191.jpg
    uploadfromtaptalk1361195057191.jpg
    48.2 KB · Views: 95
Utambulisho unaendelea kwa viongozi kutoka majimbo yote ya kanda ta kaskazini.
 
Mbowe, Lema, Nassari, Golugwa na viongozi wengine wa kitaifa wameingia.
Pia yupo kamanda Tumaini Makene
 
Anaongea Samson Mwigamba:
anasema:
kanda yetu ina mikoa minne.
viongozi wa mikoa yote hiyo walipendekeza makao makuu ya kanda ya kaskazini yawe Arusha.
Sera ya majimbo ni sera ambayo tumedhamiria kuitekeleza sisi wenyewe ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom