Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Big up sana makamanda wa Arusha kwa kutujuza yote yaliyojiri huko Arusha katika uzinduzi wa ''Northern Province''.
Tumewasoma vilivyo makamanda Crashwise, Mungi, LiverpoolFC na wengine wote mliotiririsha habari hapa JF!
 
Last edited by a moderator:
Ila kwa hili la majimbo yatupasa tuwe makini sana wakati wa kulipeleka kwa wananchi!!kwani yaonekana dhahiri kuwa watanzania wengi bado hawajawa na elimu(ufahamu) wa kutosha kuhusiana na issue hii ya majimbo,hivyo yaweza tumika kinyume na mahasimu wetu CCM kuonyesha kuwa CDHADEMA ni chama chenye lengo la kuigawa nchi,na kama member mmoja alivyowahi ku comment hapa ni vyema zaidi kama harakati hizi zingeanzia upande mwingine kabisa tofauti na kaskazini,ili kuondoa dhana iliyopandikizwa kuwa cdm ni chama cha kaskazini.[/QUOTE WANANCHI WAPEWE ELIMU KUHUSU HAYA MAJIMBO
 
Big up sana makamanda wa Arusha kwa kutujuza yote yaliyojiri huko Arusha katika uzinduzi wa ''Northern Province''.
Tumewasoma vilivyo makamanda Crashwise, Mungi, LiverpoolFC na wengine wote mliotiririsha habari hapa JF!

pamoja kamanda, jukumu letu ni kuhakikisha tunawahabarisha watu wote hasa walio mbali na Arusha kama akina wewe mwenyewe, au akina Nyani Ngabu TUMBIRI na wengine wenye nia ya kutaka kujua kinachoendelea kwenye nchi yao
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ni ukweli mkutano ulikuwa mkubwa na wenye hamasa kubwa sana. Nnapenda kukiri kwamba Arusha CHADEMA imekamilika. Kila mtu unayemwona ni mwanaCHADEMA. Kumwona mCCM ni kazi sana. "Itakubidi utafute kwa kutumia darubini. Arusha CCM kwishney!
 
Uchaguzi wa nafasi za madiwani Arusha utakuwa lini? Mbona kata zimepuuzwa kiasi hiki?
 
Ila kwa hili la majimbo yatupasa tuwe makini sana wakati wa kulipeleka kwa wananchi!!kwani yaonekana dhahiri kuwa watanzania wengi bado hawajawa na elimu(ufahamu) wa kutosha kuhusiana na issue hii ya majimbo,hivyo yaweza tumika kinyume na mahasimu wetu CCM kuonyesha kuwa CDHADEMA ni chama chenye lengo la kuigawa nchi,na kama member mmoja alivyowahi ku comment hapa ni vyema zaidi kama harakati hizi zingeanzia upande mwingine kabisa tofauti na kaskazini,ili kuondoa dhana iliyopandikizwa kuwa cdm ni chama cha kaskazini.

Elimu ndiyo hiyo, kila hatua unayoipiga lazima kuna mahali ulianzia. Watu watailewa.

Hata hivyo mbona hata CCM walishanza kutumia mfumo wa kimajimbo? Hujawahi kusikia akina Stela Manyanya 'Rukwa', Pinda na Katavi yake.....nk.??

Habari za majimbo si ngeni kama baadhi ya watu wanavyotaka kujikinga kwenye kichaka. Tanzania tuna kanda ngapi? Ni kweli watnzania hawajui mpaka sasa tuna kanda ngapi? Taasisi, Mashirika, vyombo vya serikali havifanyi kazi kikanda huku ofisi kuu zikiwa Dsm? Kwa nini wanafanya hivyo? Tafakari...
 
Back
Top Bottom