Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

I Love chadema, nikiona bendera yake ni kama ukombozi uko karibu
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez?
 
Niko kwenye uwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro ambapo kunafanyika mkutano wa uziduzi wa Kanda ya Kaskazini inajumuisha mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga, utahudhuriwa na wabunge wote wa CHADEMA kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini na kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.

kwa sasa watu wanazidi kumiminika, tuungane kuwa habarisha wale wote ambao hawajafanikiwa kufika kwenye uwanja huu kwa njia moja ama nyingi...
picha zina kuja
 
sawa mkuu, tunasubiri picha na kila kinachojiri
 
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu
 
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu

Ulichoandika kinakuonyesha huna akili timamu
 
Makamanda Molemo,Crashwise na wengine mlioko huko arusha tujuzeni yanayojiri tafadhali!mkutano c ushaanza?
 
Niko kwenye uwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro ambapo kunafanyika mkutano wa uziduzi wa Kanda ya Kaskazini inajumuisha mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga, utahudhuriwa na wabunge wote wa CHADEMA kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini na kuhutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.

kwa sasa watu wanazidi kumiminika, tuungane kuwa habarisha wale wote ambao hawajafanikiwa kufika kwenye uwanja huu kwa njia moja ama nyingi...
picha zina kuja
Nakwaminia kamanda tutapata updates live kwa wale walioko kwenye shughuli zingine au mbali ya tukio!! M4C Mbele kwa mbele hakuna kulala!!!

Kila la heri huko Kamanda, wananchi waelezwe ukweli juu ya dakika tano zilizobaki na alama za nyakati alizokuwa akiziongelea Kamanda Lissu Kibaha Mjini
 
Naaaaam! Idimulwa; Nakwambia kwa haraka haraka mpaka sasa viongozi wetu wapendwa hawajafika na hakika watu wamefurika hakuna kujali hata jua lililowaka kama limeshushwa hakika nakwambieni raia wanaipenda CDM! Tu pamoja mwanzo mwisho na hapa namsubiri Crashwise; na hakika picha mtazipata fluuuu!!

Pamoja sana mkuu..nami nafuatilia ma update...kesho kutwa nasisi hapa Mwanza ni kivumbi
 
Last edited by a moderator:
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu

Acha umbumbumbu wewe, kwani lazima uandike? Hata kama umenunuliwa tumia busara.
 
Back
Top Bottom