Nilitoweka na kushindwa hata kupost baada ya kusikia mkusanyo wa kodi ndani ya serikali tawala
Enzi ya Mwinyi alikuwa anakusanya bilioni 27 kwa mwezi
Enzi ya Mkapa alikusanya 265 bilioni kwa mwezi
Akaja Fisadi Jk anakusanya trilion 1 kwa mwezi tangu mwezi wa 11 mwaka jana na hata kwa leo mahesabu ndiyo hayo na nilizimia baada ya kusikia hivyo!
ccm ifie mbali kwa Watanzania loh!
Picha amezichukua vizuri kamanda Tumaini Makene, atazirusha mshuhudie nyomi iliyohudhuria uzinduzi
Nilitoweka na kushindwa hata kupost baada ya kusikia mkusanyo wa kodi ndani ya serikali tawala
Enzi ya Mwinyi alikuwa anakusanya bilioni 27 kwa mwezi
Enzi ya Mkapa alikusanya 265 bilioni kwa mwezi
Akaja Fisadi Jk anakusanya trilion 1 kwa mwezi tangu mwezi wa 11 mwaka jana na hata kwa leo mahesabu ndiyo hayo na nilizimia baada ya kusikia hivyo!
ccm ifie mbali kwa Watanzania loh!
Tunapaswa kunufaika zaidi lakini matokeo yake ndiyo deni la taifa linazidi kuongezeka kila kukicha wewe unaona ni sawa yaani wananchi wanataabika huku kila kukicha wanazidi kudaiwa...afadhali udaiwe lakini hali za wananchi wako ni nzuri...Unataka kusema nini? maana toka 265 billion mpaka 1 trillion ni mafanikio makubwa sasa wewe unazimia kwa furahi au?
Pamoko sana Makamanda!Mrejesho ni wa ujazo wa kutosha!Ngoja nitie kambi hapo! Copy kwa; Mungi; Crashwise; Mzee wa Rula; Mchaka Mchaka; PakaJimmy; sweetlady; Arushaone; Naombeni kampan kama kawa!