TOWNSEND
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,598
- 460
Viongozi wao wamekaa muda mrefu madarakani lakini watu wakitaka kuwaondoa kwa demokrasia wao wanasema ni ccm
wananchi morogoro wanauliza viwanda vyao vimeeenda wapi ...aaaache kuzungumzia chadema wanataka maji safi na ajira viwanda wamepewa wahindi wamefanya magodown ya .......wakulima na wafugaji kila siku wanauwawa na police mbona hazungumziii hilo ......ajali kila siku moro mbona hasemi atatatuwa vipi .......masikini wananchi moro bado wana kumbuka ndugu zao walibanwa na lori masaaa 16 mpaka kufa wakiaaangalia tuuuuuu ....kodi zetu mna kula badala ya kununua vifaaa vya uuuuokoaji....mnapeleka uswis