dunia jalala
Member
- Dec 25, 2012
- 20
- 2
dah ccm imekufa io population mbona inachekesha sana?
diamond....nouma...aisee....balaaa...katukusanya...hapa....buree....tunamuona....kwanin...tulipie...asanteni....magamba....kwa...fiesta....
dah ccm imekufa io population mbona inachekesha sana?
Matusi mengine badala ya kuchukia mtu unabaki kucheka tu, hivi nyie makamanda mna makontena mangapi ya matusi?
Chadema wanaangalia maslahi yao si ya watanzania,tujihadhari nao wanakotupeleka sipo