LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Watu hawaendi kwenye mkutano kumwona diamond au ze comedy wanaenda kusikiliza sera, kwenye tv hawa tunawaona daily
 
Pumba tupu hapa za Seif khatib....et viti maalum chadema wengi wake za watu wa humo chadema.Hiyo hoja haina mashiko hat kidogo.
 
Dr Saif Khatib! Ndo anazungumza! Kumbe kweli akili ndogo inaongoza akili kubwa!
 
Seif hatibu anasema wabunge wa viti maalum chadema ni mahawara,dada na mashangazi wa viongozi wao
 
Du, kule bungeni Chadema kina viti maalum. Lakini hivyo viti maalumu wamejaa wake zao, wachumba zao na mahawala zao - Seif Khatibu
 
Naona TBC hapa wanaonesha show ya Diamond na watu wanashangilia na kucheza kweli,
ila anaposema mtu ccm oyeeee kelele ni chache sana compared to diamond, linnah na wanaume TMK
hivi ccm wanaweza kujigamba kweli kuwa ule mkutano waliohudhuria wameenda kwa ajili yao?
Kama show za diamond kwenye ukumbi ambao kiingilio huanzia 10,000 watu huudhuria kibao!
Je wangeacha kuhudhuria show ya bure hata kama wanachadema?
Kweli ccm inajidanganya sana! Yaani mnaenda kuhutubia watu walioko kwenye show ya wasanii wanaowakubali?
Maskini mmeamua kuwakatia burudani yao hadi mmalize mkutano ndo show yao itaendelea tena!
Kama mnajiamini kwa nini mtafute wasanii???
 
Mwisho wa mkutano utasikia wanachama 1500 wa chadema wamerudisha kadi na kuamia ccm,hah hah😕😕😕
 
Things have fallen apart in ccm, wana tafuta mlango wakutokea
 
Kama viongozi ndiyo hawa tuliowapa dhamana ya kuongoza ndiyo hawa akiwa hawa akina Seif bora kufa kabisa.

Yaani huyu jamaa kawaaibisha kabisa Wanzazibar, yaani uwezo wake ni mdogo sana wa kujenga hoja.

Kamponda sana Dr. Slaa kwamba ni mzinifu. Yaani hakuna sera zaidi ya upumbavu.

Ngoja nimsikilize Nape.
 
''wazuri ni wengi lakin kumpata mwenye mapenzi ya kweli ni balaa'' maneno ya diamond kwenye wimbo wake
ktk mkutano wa hadhara wa CCM
morogoro na Kinana anayasikia
na Tbc1 hewani! Mara ohoo Tmk Mwanza hata bongo muv mmoja hayupo lkn nyomi ya kutosha!!
Mh! napita!
 
Huyu mzee mohamedi seif khatibu nimemdharau sana. Naomba mniambie huyu mzee kaongea nini?
 
Yeye Batilda Burian aliyetaka kura zirudiwe kuhesabiwa kule Arusha co chakula chake?Hovyooooooo!
 
Yaani ni FULL matusi hapo uwanjani!! Kama kuna mwanao
huko mrudishe nyumbani haraka.

yaani mi imebidi niwafukuze watoto make huyu seif khatibu anatema matusi
balaa,anasema wabunge viti maalum wa chadema ni mahawala wa wabunge,dr.slaa ni
mzinzi,sasa anaingia Nape.
 
Back
Top Bottom