Magamba mbona comparison na Chadema nyingi sana?kwani mkutano wenu ni wa kujilinganisha na Chadema?si mnasema Chadema hawawasumbui?mbona kama mnatapata hapa? Sera zipo nyingi ongeeni kuhusu maendeleo mliyowapa wananchi sio kujilinganisha. chadema hawahitaji kulipa watu kwenda kwenye mkutano, hawahitaji wasanii kuhimiza watu waende kwenye mkutano wao ni sera, sasa mbona hapa sera sioni? Na pia huu ,kutano mnajitetea sana kwamba vijana mnao mbona nikiangalia washiriki hapa umri wao unanipa mashaka?na huyu mbunge jimbo dogo namna hiyo hadi asome hotuba yake? Kwani hajui maendeleo ya jimbo lake?au inakuwaje hapa?