LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Hapa Nape na Kinana kwa iyo ziara ya siku 8 tu kuitukana chadema wana alowance ya milioni 9 kila moja,wewe Bungeni,m23,lukosi,chilisosi hamtengenezi hata mia.MNATOKA POVU BURE.
 
Kumbukumbu:

Tangu kuanza kwa siasa za vyama vingi mwaka 1992 mpaka sasa mkoani Morogoro HAKUNA jimbo hata moja lililowahi kuchukuliwa na upinzani.

sasa mnasifu umasikini? KUCHAGUA MAGAMBA ni kuchagua umasikini
 
TBC nani anaangalia siku hizi? matangazo waliyo nayo ni kusafisha wauaji na wang'oa kucha meno na macho bila ganzi.
Kinana yupo disconnected sana na audience.hata hapo kukwaani wameboreka.hakuwa na hotuba.hata akiuliza watu hawaitikii.watu wana wapiga story.
Mvua inawachapa waödoke.
 
Leo Kinana kadhihirisha kuwa CDM ni koboko ya ccm, kuhutubia wananchi kwa kuisema mwanzo mwisho ni dhahiri kuwa kinamnyima usingizi, kama sivyo alipaswa kuja jukwaani na hoja mbadala za wapinza mfano;-
- Mikataba ni bora ya uchimbaji dhahabu hakuna shida kwasababu kadha wa kadha.
- Mikataba ya ujenzi wa bandari bagamoyo ni kwa maslahi ya nchi kwasababu kadha wa kadha.
- Mikataba ya uchimbaji mafuta na gesi ni kwa maslahi ya taifa kwasababu kadha wa kadha.
- Kuhusika kwa serikali katika utekaji si kweli kwasababu kadha wa kadha, nk.

Akifanya hivyo atakuwa ametuziba mdomo wale wote tuliowaka nyongo kwaajili ya uvunaji hovyo wa rasilimali na usimamizi mbovu wa serikali.
 
Hivi bado mnaangalia Tanzania Broadcastind for Ccm (tbc)! Nyie mnaumwa, siyo bure
 
Viongozi wao wamekaa muda mrefu madarakani lakini watu wakitaka kuwaondoa kwa demokrasia wao wanasema ni ccm
Lipumba na Seif wanaongoza kwa miaka mingapi? NCCR ilifanya uchaguzi wa mwisho lini? Mrema anaongoza TLP tangu lini na ameshawahi kuitisha uchaguzi? Vipi UDP John Cheyo ni kiongozi wa Maisha?

CCM ilipokuwa inachagua mwenyekiti JK aligombea na nani? Waliojitokeza kugombea naye unajua walivyonyamazishwa? Ndio demokrasia?

Tuambie chama kipi ni mfano wa demokrasia hapo.
 
namsikiliza kinana akitoa hotuba yake morogoro mjini,katika hotuba yake yote asilimia 99.99999% anaiongelea chadema tuuu.huyu jamaa ni akili ndogo na hana jipya pamoja na chama chake cha ccm.badala ya kuongelea mambo nyeti na atoe solution zake unapotezea watu muda wao kwa kuja kuiongelea chadema.watu wanataka tumaini jipya ajira hamna,sekta ya afya imedorora,maisha bora waliyoahidi ya kwapi???miundombinu ovyo.watu wakijua mnakuja na maoni na mtafanya nini katika hali mbaya ya nchi yetuu.mnaongelea chadema ??poor kinana nape na ccm.
 
CDM kususa ni kawaida yao.

CUF sijui kama wameshawahi kuomba huduma ya TBC wakakataliwa.

TBC kurusha matangazo ya vyama ni sawa kwa sababu siasa ni sehemu ya shughuli za jamii, lakini hawapaswi kupendelea chama fulani. Kila chama kikiomba huduma kinatakiwa kipewe equal consideration.

Mh,.!.?.?
Sijaona equality hiyo.
Labda unipatie evidence.
 
Back
Top Bottom