LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Mtaumbuka sana 2015 kwa kudanganyana wakati ukweli upo tofauti na anayeleta update yuko chumbani na kpc kake.
 
Kitndawiliiii tegaaaaa, nimefanya na nitafanya, nani zaidiiiiii jibu nimefanyaaaaaaa
 
Undetaker amejaribu kuwahadaa wenzake wa cdm kuwa mkutano hauna watu kumbe ni nyomi kiasi hicho. Cdm msipeane matumaini mtajinyonga bure 2015.
 
Wanatapatapa nini? kila gamba akihuutubia chadema chadema watulie ingie vizuri .wao wanaona maendeleo ni barabara na kueneza udini na majengo mengi ya kata wanayoyaita shule.huyo meya ni mjinga wenzie wanapambana kuhakikisha nchi aichukuliwi na cdm,kwa kuwa wanajua viwanda walivyogawana na nyumba za serekali lazima zirudi.yee abaki kubwabwaja hajui wenzie wanatetea nini.
 
Nape amesema tusiwakubali hawa wanaopanga mipango ya ugaidi wakiwa vyumbani, wakija majukwaani wanajifanya wema
 
Mkuu matatizo yako ya shule bado hayajaisha, jihadhari usijiingize kwenye siasa mpaka umalize kufuatilia course work yako. CCM hawaaminiki, wanaweza kutia sumu kwenye progress ya suala lako ionekane wewe ndiye uliyejilengesha kwa lecturer.
Zaidi.......wamefanywa!
 
Wametambulishwa wakuu wa wilaya wanne vijana akiwemo mtaka wa mvomero na,kingu wa igunga
 
Ama kweli kwa manispaa kama ya morogoro kuwa na watu wasiozidi mia mbili ni aibu,wamechoka,wasiendelee kung'ang'ania madaraka ya nchi yetu,tuwaepuke kama ukoma
 
Mmmh!!! Hapa! Kinyanambo 15:57 Today Tumekagua barabara na kutatua kero za Wakulima wa miwa,ahadi za JK zimetimizwa 95%..
na ile ahadi ya kununua meli itakayofanya safari Dar-Dom ameitimiza?
 
Habar wanajf?
Naombeni majibu yenu kuhusu swali hili.
Nimeona CCM Wakirusha matangazo ya mkutano wao wakiwa Morogoro LIVE kupitia TBC.
Kunamikutano mingi iliyo na inayofanywa na vyama vingne kama vile CUF na CDM.
Ninauliza kama Tbc imewahi kurusha live mikutano ya vyama hivi tofauti na kipindi cha kampeni. (mnikumbushe endapo imewahi kutokea)
.NINAVYOJUA MIMI NI KWAMBA HII TBC NI TV YA TAIFA.
 
Kwa nini nisisadiki wakati wewe mwenyewe nakuona ni msukule?

Ndio tatizo la kuwa kubwa jinga alafu ukazungukwa na w.a.p.u.m.b.a.v.u,unategemea Richie a standard seven leaver atakushauri nini wakati wote ni narrow minded people!
 
TBC inaonyesha 'Live' Aliye karibu na TV atupiemo mimacho hapo. Nimemsikia Nepi anasema ' msidanganyike na wanasiasa UCHWARA' akaendelea 'walikuja hapa Morogoro watu wakafa' pata picha uki-relate mlolongo mzima wa mauaji yaliyotokea na utekaji unaoendelea kutokea, wewe kama GT unapata picha gani hapo?
Muuaji, mtekaji ni huyohuyo kwa kisingizio cha kwamba fulani ndiyo anafanya mauaji sasa wanakuja kupanda majukwaani kuwaeleza wanaouwa watu ni wanasiasa wa Vyama vya UPINZANI(not only Upinzani, ni CHADEMA).
All of CCM are HOPELESS. Hamna chochote wanachowaambia wananchi zaidi ya kuiongelea CHADEMA.
 
Kinana anaendelea na hotuba na anasema amefatilia na kufanikiwa kutatua tatizo la wakulima wa miwa kilombero
 
Back
Top Bottom