LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Mvua imekata kidogo,dozi inaendelea na watu wako kimyaa wametega sikio sijawahi ona.
 
Ajenda ni chadema tu hapa kweli kabali imekubali.kabali ya chadema ni kiboko.
 
Nami nawashauri hao watu wa Moro! Akili za kuambiwa wachanganye na za kwao!
 
Katiba itakayopatikana si ya ccm,cuf,nccr wala chadema, ni ya watanzania wote
 
Wana sera ya black mail, kwamba usiponifanyia hivi nafanya vile.

Mi si mshabiki sana wa siasa, ila mkuu UNATISHA:
Umejiunga JF APRI 8 (SIKU 13 ZILIZOPITA) hadi leo una post 732( WASTANI WA POST 56 KILA SIKU) zaid hata ya watu waliojiunga mwaka mmoja uliopita. Mkuu nijibu mawali yangu mawili tu
1. HUNA KAZI YA KUFANYA HAPA MJINI ZAIDI YA KUSHINDA JF NA KUPOST SIKU NZIMA?
2. UNALIPWA KWA KILA POST UNATUPIA JAMVINI?
3.JF MODS WAMEKOSEA IDADI YA POST ZAKO?


KWA KWELI NIMESHANGAZWA SANA WANA JF
 
CDM kususa ni kawaida yao.

CUF sijui kama wameshawahi kuomba huduma ya TBC wakakataliwa.

TBC kurusha matangazo ya vyama ni sawa kwa sababu siasa ni sehemu ya shughuli za jamii, lakini hawapaswi kupendelea chama fulani. Kila chama kikiomba huduma kinatakiwa kipewe equal consideration.
ZeMarcopolo, unakumbuka TBC walivyowafanyia uhuni CDM mwaka 2010 wakati wa ufunguzi wa kampeni pale Jangwani, kiasi cha Marini Hassan Marini kukudwa? Yaani TBC hawatakaa waonyeshe mikutano ya CDM kwa usawa na ile ya CCM kwa kuwa TBC wapo chini ya waziri mkuu ambaye ni kada namba moja wa CCM. Katu hatakubali TBC waipe coverage chadema. Hilo lipo wazi. Ndiyo maana tunaipigia kelele CDM ianzishe TV yake au ifanye alliance na moja ya kituo kikubwa cha TV nchini kwa mfano ITV ili kuhakikisha habari zake zinaifikia jamii ipasavyo, ila sema ndiyo hivyo viongozi wa CDM na wenyewe siyo wasikivu pia.
 
Hyo ndo serkal ya ccm...cjui hao wanaoloa mvua hawana shughui za kufanya kwn speech ya kinana yote it's all about CDM,kat hal za watanzania znazd kuwa mbov kla uchao...watta nonsense speech is this!?
 
Kinana yupo disconnected
sana na audience.hata hapo kukwaani wameboreka.hakuwa na hotuba.hata
akiuliza watu hawaitikii.watu wana wapiga story.
Mvua inawachapa waödoke.
kweli kabisa naona wananchi waliopo hata hamsikilizi.
 
ZeMarcopolo, unakumbuka TBC walivyowafanyia uhuni CDM mwaka 2010 wakati wa ufunguzi wa kampeni pale Jangwani, kiasi cha Marini Hassan Marini kukudwa? Yaani TBC hawatakaa waonyeshe mikutano ya CDM kwa usawa na ile ya CCM kwa kuwa TBC wapo chini ya waziri mkuu ambaye ni kada namba moja wa CCM. Katu hatakubali TBC waipe coverage chadema. Hilo lipo wazi. Ndiyo maana tunaipigia kelele CDM ianzishe TV yake au ifanye alliance na moja ya kituo kikubwa cha TV nchini kwa mfano ITV ili kuhakikisha habari zake zinaifikia jamii ipasavyo, ila sema ndiyo hivyo viongozi wa CDM na wenyewe siyo wasikivu pia.

Lakini badala ya kususa na kutangaza live kuwa hawataki huduma yake wangeacha jamii ione kama wanaonewa na ihukumu yenyewe. Waliposusa wameharibu kwa sababu sehemu kubwa ya jamii ilikuwa haijaona kama chadema inaonewa.
 
sasa km kinana analia cdm wanasikilizwa sana,wakati yeye hawezi shawishi jukwaa alilosimama.anaongea mwenyewe.
Kaanza ya lusindf,kaanza matani.
 
Kama unataka habari za mkutano wa chadema nenda kwenye thread yake. Ipo kule ina comments nane tu tangu mchana.

Mana huyu bwana anaongelea ccm toka nimefungua Tbc! Au ndio sera mpya ya ccm? I expected issues za kujadiliwa ziwe ni elimu, afya, maji, barabara nk nk! Kweli ni hatari akili ndogo kutawala kubwa! The best way ya CCM kujijengea heshima ni kudeal na matatizo ya wananchi na siyo propaganda hizi!
 
Tulivaa magwanda kabla yao, watizameni waacheni hivo hivo. Ntawaonyesha picha yangu ya miaka 20 iliyopita nikiwa na gwanda
 
Naona Hawana AJENDA za kuongea kwani mwanzo mwisho ni CDM, amakweli CDM ni noma kiasi kwamba CCM inatenga budget ya kuongelea CDM kupitia runinga, maroli (mabasi) na mabodaboda wote.
 
Naona chadema inawachanganya sana Ccm, kinana analia na chadema tu hana jingine, nimemshusha sana sikumtegemea namna hii, naanza kuhisi tabia za mwigulu, lusinde na nape nadhani ni yeye anaprogram, amehusika k
 
Back
Top Bottom