LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Viongozi wao wamekaa muda mrefu madarakani lakini watu wakitaka kuwaondoa kwa demokrasia wao wanasema ni ccm

Mbona nyie Mwenyekiti Jk kashindanishwa na giza? Kura inapigwaje hapo? Ndo demokrasia? Kwa nini cdm tu? Mbona wasimtaje Lipumba na Seif
 
Tatizo la wapinzani ni ccm sio maendeleo ya wananchi, Huwezi kuwa na tanzania bila ccm
 
TBC nani anaangalia siku hizi? matangazo waliyo nayo ni kusafisha wauaji na wang'oa kucha meno na macho bila ganzi.
Kinana yupo disconnected sana na audience.hata hapo kukwaani wameboreka.hakuwa na hotuba.hata akiuliza watu hawaitikii.watu wana wapiga story.
Mvua inawachapa waödoke.
 
Kwa hiyo Kinana ana bifu na Kenya?na mbona Chadema imetawala sana kwenye hotuba yake?
 
Hivi #TBC wanaweza wakawaruhusu CHadema nao wakasima wakaongea LIVE kama kinana wa #CCM anavyo ongea?
 
kama ulikuepo mkutanon baada ya diamond kumaliza watu wote pluuuuu
usidhani we ndo una tv peke yako.kila mtu anaona.mzee kinana katouch sana watu,wapo wananyeshewa mvua lakini hawaondoki.
 
Back
Top Bottom