Bado sana mkuu
Nilikua na kalkuleti umri wa Uzi huu miaka 15 sio mchezo, wengi wameshaishia njiani wameachana. No wakati wangu na Mimi sasa nipate sampuli moja saafi humu ndani 😅😅
Na mimi sasa naingia dimbani, sasa nipate mmoja, anayejielewa vizuri, walau tupate muda wa lunch ya pamoja, tufahamiane na kuwa “good friends “ kabla ya kuzungumza ya kuzijenga kesho zetu!