Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,936
😂😂😂 Unakubali watu fake ukinyonywa damu??Kwa nini haukubali sasa?😊
We huogopi?
😂😂😂 Unakubali watu fake ukinyonywa damu??Kwa nini haukubali sasa?😊
Hapo ndio unaninyoosha?😂😂Hakubali ndio maana anajikuta mh dc... Hana kila kitu... Angekuwa ni jamaa angeingia na gia ye ni Majaliwa...
😂Tangulia nitakukutaDoh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi
😂😂😂 Acha bhasiAh wapi? Kuna mchizi mpaka anaapia kabisa kwamba hajwahi ona pis kali kama wew afrika mashariki na kati hii.. mm mpaka najisemea diamond platinum simba la masimba dangote linkwwama wapi kutia hela
Hakuna watu fake bhana ,ni watu tu wakawaida , mbona mimi nimejifinya kabisa nasikia maumivu? Sio fake bhana.😂😂😂 Unakubali watu fake ukinyonywa damu??
We huogopi?
Pesa ninayo😂Mchana mwema...
Kujibizana na mtu hana mbele wala nyuma ni upotevu wa muda.
dollars😅Ehhh.!! 😂😂
Na mtindi nao upo, kingine?
Ukipotea je? Utajua mm nitakuwa pepo namba ngapi? Usifanye hivyo au mpka nilie? Ihihihhiiiiii 🥲😂Tangulia nitakukuta
😂😂😂 Mi hapa hakuna hata mmoja ninayemfahamu na anayenifahamu.!!Hakuna watu fake bhana ,ni watu tu wakawaida , mbona mimi nimejifinya kabisa nasikia maumivu? Sio fake bhana.
Huna chochote mzee!!Pesa ninayo😂
Nilivyokuambia mm ni maskini nilikuingiza tu chaka. Pesa ninazo za ndumba😂
Home wapi? Arusha au?😂😂😂 Acha bhasi
Hii naisikia kwako, shem mi inawezekana ndio pisi mbovu haijawahi kutokea…
Sema najikubali mpk najikubali tena.!!
Nimekuambia natumia ndumba, nayo hutaki?Huna chochote mzee!!
Halafu ile pic wala sikuwa na lengo la watu wajadili dollar ila shobo za waja na chuki zao 😂😂😂dollars😅
Mwanzoni kabisa sikujua kama kuna hitajika ku fake niliweka picha yangu kabisa 😁😁 mwisho wa siku ukiwa roma ishi kama waroma.😂😂😂 Mi hapa hakuna hata mmoja ninayemfahamu na anayenifahamu.!!
Nikiingia JF nakutana na fake pipo
Uhalisia upo kwenye ulimwengu wangu wa huku nilipo.!!
Mtag mkuu nijarib zali mana nishachoka kupanda mnazi na jua kali hiliwewe anakufaa sweetcandy
huko zenji unakosa mali?Mtag mkuu nijarib zali mana nishachoka kupanda mnazi na jua kali hili
Njombe mi kinga’sHome wapi? Arusha au?
Wee ndio ulijimix humu hutakiwi kujulikana, tunaishi kimafia 😂😂😂Mwanzoni kabisa sikujua kama kuna hitajika ku fake niliweka picha yangu kabisa 😁😁 mwisho wa siku ukiwa roma ishi kama waroma.
ningekuwa na mihela nisingeulizwa maswali hiviHalafu ile pic wala sikuwa na lengo la watu wajadili dollar ila shobo za waja na chuki zao 😂😂😂
Pesa sina ile pic ya kawaida isikutishe.!
Eehh kingine?