Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,929
Mkorofi wewe muone kwanza 😂😂cheupe dawa njoo nkushushie mistari
Okay, haya lete verse nakusikiliza
Mkorofi wewe muone kwanza 😂😂cheupe dawa njoo nkushushie mistari
Wewe kabisa unaamini mm naweza kumtongoza Depal?Depal nayeeeee... sasa kutongozwa mpka akaseme? Mbona mm nimemtongoza Ms R na hanitangazi tumemalizana kisela tu
Jana nilimuota nambaka, hapa namtafutia mingo akikubali nafanya kweli😂Kwan imekuaje wazee mbona biti la kibabe?
Usifanye hivyo mama! Kuwa binadam anayejali hisia za watu wengine bas... mm kubembeleza siwez sana! Au bas ngoja nikakojoe nilale 🤣Umechelewa
Oyaaa😂😂😂Leo nakupelekea moto uniite daddy...
Una point utafika mbaliiiiiAu bas ngoja nikakojoe nilale 🤣
Kutongoza mkuu sunna.. sio la kushangaza! Usipotongoza utatupa wasiwasWewe kabisa unaamini mm naweza kumtongoza Depal?
Sasa hivi pesa nnayo, nna pesa za ndumbaAisee kumbe mshahara wa dc ni mrefu...
Hadi Lamomy ? Mana hapatikan.. mm nimejarib nimeshindwa na naskia pis kali kweli kweliAmetongoza jf yote...
Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list...Wewe kabisa unaamini mm naweza kumtongoza Depal?
😂😂😂Ametongoza jf yote...
Umerahisishiwa kila kitu ushindwe wewe tu kuchukua mchuchuKumbe kuna uzi wa hivyo?
ni haya manywele yangu unaogopa? basi ntanyoaMkorofi wewe muone kwanza 😂😂
Okay, haya lete verse nakusikiliza
Kama depal anawaambia hivyo basi atakua anataka nimtongoze kweli😂Kutongoza mkuu sunna.. sio la kushangaza! Usipotongoza utatupa wasiwas
Kibaya wanakukataa...😂😂😂
Huwa sitongozi natumia uchawi
Ndio sifa ya mwanaume kutongoza 😆😆😆😆Umerahisishiwa kila kitu ushindwe wewe tu kuchukua mchuchu
Aya changamka changamkaaaNdio sifa ya mwanaume kutongoza 😆😆😆😆