Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mimi na wewe ndio date iliyodumu kwa muda mfupi zaidi duniani. 🤣🤣🤣.
Nimekuacha!!
Asante,,ata najali sasa 😂😂😂we mtu gani unapata vumbi la kongo ovadozi ulitaka kuniua mxiuuu
 
Ni kweli mimi ni mmojawapo niliyepata warembo wawil kupitia huu uzi japo nmebadili I'd asinijue kiutan utan hivi hivi tukazama PM mchezo ukawa umeisha
Hongereni wakuu, sisi wengine ni mwendelezo wa kupigwa za uso...
 
Back
Top Bottom