Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,752
- 182,870
Shikamoo jirani[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nipo single!
Nimechoka kuwa single!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo jirani[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nipo single!
Nimechoka kuwa single!
Yewoooomi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Na umekuwa single muda sanaaaa sijaonaga hata ukichekewa.
[emoji23][emoji23]
Natarajia soon hali itabadilika.
Heeeee. Kivipi Tena ?Sasa umeharibu kabisa yani😂
Halafu nitapumuaje jamani nikikukabidhi moyo,
Si unamuona anavyolia lia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ewaaaah. Ukikataa hii proposal, Espy basi tutahesabu umelogwa tayari na roho ya u single iko ndani yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] Wewe kabidhi Moyo [emoji813] huo.
hayo ya kupumua iachie pua na mapafu vifanye kazi yake.
Nauli itapitia kwangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshenga uko vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuchosha tu, mume wa mtu huyo.Si unamuona anavyolia lia.
Yaani kwa machozi hayo na kuchoka seems like forever [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ama anatufiksi?