Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Itabidi akomae, kama alivyokomaa yule wako.
Tangazo la Ndoa mpya liwe na nguvu.
Na anavyojiamini huyu mpya akomae tu bila hiyo atayumbishwa 🤣🤣🤣🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Nipewe nini mie jamani
Sijui nikukubalie tu sijui niringe ringe kwanza. Au utaghairi?
Japo hata ukiringa ringa mie nimeshaamua moja(ko siwezi kurudi nyuma).Lakini hebu na wewe kwa moyo m1 amua tu moja mpendwa @espy.Na hakika hautojuta company na treatment nitayokupa.Hebu Naomba nijibu kabisa huko Mafichoni mpendwa wangu@Espy
 
@kiwatengu kakataza mambo ya mafichoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom