Finally na wanawake tumekumbukwa ..asee kuna mbaba(nahisi ni mbaba mkubwa kanizidi sana) kule jukwaa la TECH,GADGET&SCIENCE FORUM nampenda kinoumer
Sijui ni IT yule...yani matatizo yangu yooote ya PC,apps nazohitaji,simu nimeyatatua kwake
Nahisi huyu mbaba tuna same interests japo anaonekana yupo serious sana ila he's exactly my type
Afu nahisi hana kitambi wala w0 w0 w0
Much respect to you babaa
Chief-Mkwawa