mkuu naweza mention mke wa mtu bana!
sasa naweza taja warembo kama
Heaven on Earth,
miss chagga,
Passion Lady (goodmorning my X!!), ama
ladyfurahia, ukakuta wooote wamegandwa!!!
halafu nashangaa hivi humu hamna ndoa zinazovunjikaga??!!! sijaona kabisaa mtu akibebeshwa vyombo!!