kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Nov 9, 2016 Thread starter #8,941 Honey Faith said: Aibu naona mimi Click to expand... Hny!??
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Nov 9, 2016 Thread starter #8,942 atoto said: Hahahaaaa!! Nilikuwa naandaa andalio pendwa. Click to expand... Andalio la mgegedo ama?
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Nov 9, 2016 Thread starter #8,943 Honey Faith said: Kwa jinsi nilivyokuwa mvivu kusoma nilijitahidi nikaishia la nne D baada ya kufeli mara tatu ule mtihani wa taifa basi nikaamua tu kuacha shule Click to expand... ha ha ha juzi si niliona picha yako ukiwa university wewe,?
Honey Faith said: Kwa jinsi nilivyokuwa mvivu kusoma nilijitahidi nikaishia la nne D baada ya kufeli mara tatu ule mtihani wa taifa basi nikaamua tu kuacha shule Click to expand... ha ha ha juzi si niliona picha yako ukiwa university wewe,?
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 9, 2016 #8,944 Madame B said: Hahahha Naona unachekelea. Matamu sana Click to expand... Itabidi niweke aibu mfukoni nijiachie kwa kweli, tunaishi mara moja tu. Nitajiweka low hakunaga niyaone na mimi, ha ha haaaaa
Madame B said: Hahahha Naona unachekelea. Matamu sana Click to expand... Itabidi niweke aibu mfukoni nijiachie kwa kweli, tunaishi mara moja tu. Nitajiweka low hakunaga niyaone na mimi, ha ha haaaaa
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 9, 2016 #8,945 RRONDO said: Unafikiria nini tena CC? Click to expand... Jinsi ya kujipatia raha, Madame B ananipa hamu ya kujaribu namie niishi niseme nilikula raha jamani.
RRONDO said: Unafikiria nini tena CC? Click to expand... Jinsi ya kujipatia raha, Madame B ananipa hamu ya kujaribu namie niishi niseme nilikula raha jamani.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 9, 2016 #8,946 RRONDO said: Unafikiria nini tena CC? Click to expand... Nataka nijaribu zile fikra za kizungu, kujiachia na kuonja maisha hakuna majuto. Inakuwa uamuzi tu
RRONDO said: Unafikiria nini tena CC? Click to expand... Nataka nijaribu zile fikra za kizungu, kujiachia na kuonja maisha hakuna majuto. Inakuwa uamuzi tu
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Nov 9, 2016 #8,947 atoto said: Mbona unanitamanisha!! Click to expand... Sijasoma hapa usijali
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,948 kiwatengu said: Hny!?? Click to expand... Yes niambie
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,949 kiwatengu said: ha ha ha juzi si niliona picha yako ukiwa university wewe,? Click to expand... Labda pacha wangu
kiwatengu said: ha ha ha juzi si niliona picha yako ukiwa university wewe,? Click to expand... Labda pacha wangu
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,950 MO11 said: nimeamini nimeamini nakwambia kikulacho ki nguoni mwako dah Click to expand... Aibu utaona wewe
MO11 said: nimeamini nimeamini nakwambia kikulacho ki nguoni mwako dah Click to expand... Aibu utaona wewe
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,872 Reaction score 129,873 Nov 9, 2016 #8,951 cocochanel said: Nataka nijaribu zile fikra za kizungu, kujiachia na kuonja maisha hakuna majuto. Inakuwa uamuzi tu Click to expand... Aisee very interesting.
cocochanel said: Nataka nijaribu zile fikra za kizungu, kujiachia na kuonja maisha hakuna majuto. Inakuwa uamuzi tu Click to expand... Aisee very interesting.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,872 Reaction score 129,873 Nov 9, 2016 #8,952 cocochanel said: Jinsi ya kujipatia raha, Madame B ananipa hamu ya kujaribu namie niishi niseme nilikula raha jamani. Click to expand... Naomba nikupe raha....
cocochanel said: Jinsi ya kujipatia raha, Madame B ananipa hamu ya kujaribu namie niishi niseme nilikula raha jamani. Click to expand... Naomba nikupe raha....
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,678 Nov 9, 2016 #8,953 Mtongozo
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Nov 10, 2016 #8,954 Honey Faith said: Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee Click to expand... Poa karibu sana, nimefika muda si mrefu.
Honey Faith said: Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee Click to expand... Poa karibu sana, nimefika muda si mrefu.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,448 Nov 10, 2016 #8,955 MO11 said: utaua watu kwa wivu kweli kwa style hii Click to expand... Honey Faith said: Sitakaa nikuzibie wewe endelea tu kwa amani tele Click to expand... cocochanel said: Jinsi ya kujipatia raha, Madame B ananipa hamu ya kujaribu namie niishi niseme nilikula raha jamani. Click to expand... atoto said: Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder! Click to expand... Naona mnataka kutengeneza kapo mpya eeeee Haya, mie nawaangalia
MO11 said: utaua watu kwa wivu kweli kwa style hii Click to expand... Honey Faith said: Sitakaa nikuzibie wewe endelea tu kwa amani tele Click to expand... cocochanel said: Jinsi ya kujipatia raha, Madame B ananipa hamu ya kujaribu namie niishi niseme nilikula raha jamani. Click to expand... atoto said: Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder! Click to expand... Naona mnataka kutengeneza kapo mpya eeeee Haya, mie nawaangalia
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,448 Nov 10, 2016 #8,956 RRONDO said: Naomba nikupe raha.... Click to expand... Unamzengea na cocochanel tena. Ngoja Honey Faith atoke mafichoni
RRONDO said: Naomba nikupe raha.... Click to expand... Unamzengea na cocochanel tena. Ngoja Honey Faith atoke mafichoni
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 10, 2016 #8,957 Rogie said: Poa karibu sana, nimefika muda si mrefu. Click to expand... Ulikuwa haupo maana nimekuja nakupigia simu yako haipatikaniki
Rogie said: Poa karibu sana, nimefika muda si mrefu. Click to expand... Ulikuwa haupo maana nimekuja nakupigia simu yako haipatikaniki
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 10, 2016 #8,958 Madame B said: Unamzengea na cocochanel tena. Ngoja Honey Faith atoke mafichoni Click to expand... Mie siko nae tena huyo alikuwa kimchepuko wangu alikuwa analipia bili zangu za kila siku
Madame B said: Unamzengea na cocochanel tena. Ngoja Honey Faith atoke mafichoni Click to expand... Mie siko nae tena huyo alikuwa kimchepuko wangu alikuwa analipia bili zangu za kila siku
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,560 Nov 10, 2016 #8,959 MO11 said: utaua watu kwa wivu kweli kwa style hii Click to expand... Na wakufe tu maana hamna namna.
MO11 said: utaua watu kwa wivu kweli kwa style hii Click to expand... Na wakufe tu maana hamna namna.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,560 Nov 10, 2016 #8,960 Honey Faith said: Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee Click to expand... Sasa unanikot alafu unaongea na Rogie, hujui bado nina wivu nae!!
Honey Faith said: Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee Click to expand... Sasa unanikot alafu unaongea na Rogie, hujui bado nina wivu nae!!