Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,921 MO11 said: hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki Sikuwahi kujua kama unajua kusoma Click to expand... Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga.
MO11 said: hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki Sikuwahi kujua kama unajua kusoma Click to expand... Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,922 MO11 said: hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki Sikuwahi kujua kama unajua kusoma Click to expand... Naona unamwaga sumu tu.
MO11 said: hilo nalijua nataka nikutoe macho usiyaone ya wambea pia nikutoboe masikio usisie ya wanafki Sikuwahi kujua kama unajua kusoma Click to expand... Naona unamwaga sumu tu.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,923 atoto said: Wivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu. Click to expand... Haya bwana nimemuacha
atoto said: Wivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu. Click to expand... Haya bwana nimemuacha
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,924 atoto said: Mvivu kusoma au ******!! Click to expand... Sio kusoma sema akili ilikuwa haiko sawa
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,472 Nov 9, 2016 #8,925 atoto said: Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga. Click to expand... karibu ulimwengu wa MO11 utapata kinachopatikana Honey Faith said: Naona unamwaga sumu tu. Click to expand... Kausha hulali leo _?
atoto said: Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga. Click to expand... karibu ulimwengu wa MO11 utapata kinachopatikana Honey Faith said: Naona unamwaga sumu tu. Click to expand... Kausha hulali leo _?
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,890 Reaction score 129,941 Nov 9, 2016 #8,926 atoto said: Wivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu. Click to expand... Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu!
atoto said: Wivu wa nini nawe!! Muache RRONDO apooze machungu. Click to expand... Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu!
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,512 Reaction score 771 Nov 9, 2016 #8,927 Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi
Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,928 Honey Faith said: Sio kusoma sema akili ilikuwa haiko sawa Click to expand... Kumbe matatizo ya tangu utotoni haya!!
Honey Faith said: Sio kusoma sema akili ilikuwa haiko sawa Click to expand... Kumbe matatizo ya tangu utotoni haya!!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,929 RRONDO said: Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu! Click to expand... We kazana ujiweke hapo, ila naona ashaanza kulishwa sumu ile usoipenda, kitu mbesaaaa.
RRONDO said: Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu! Click to expand... We kazana ujiweke hapo, ila naona ashaanza kulishwa sumu ile usoipenda, kitu mbesaaaa.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,930 MO11 said: karibu ulimwengu wa MO11 utapata kinachopatikana Click to expand... Ninachokitaka nashukuru hata wewe unakijua, kazi kwako ni kinipa tu, yaani unipee hadi nikinai, ila sitaki kukinai.
MO11 said: karibu ulimwengu wa MO11 utapata kinachopatikana Click to expand... Ninachokitaka nashukuru hata wewe unakijua, kazi kwako ni kinipa tu, yaani unipee hadi nikinai, ila sitaki kukinai.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,931 RRONDO said: Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu! Click to expand... Sitakaa nikuzibie wewe endelea tu kwa amani tele
RRONDO said: Afadhali umenisaidia maanake alikuwa ananizibia tu! Click to expand... Sitakaa nikuzibie wewe endelea tu kwa amani tele
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,932 Mr. Mangi said: Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi Click to expand... Mbona unanitamanisha!!
Mr. Mangi said: Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi Click to expand... Mbona unanitamanisha!!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,933 atoto said: Kumbe matatizo ya tangu utotoni haya!! Click to expand... Ni akili ya darasani ndio haipo ila ya maisha ninayo
atoto said: Kumbe matatizo ya tangu utotoni haya!! Click to expand... Ni akili ya darasani ndio haipo ila ya maisha ninayo
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,934 MO11 said: imeandikwa samehe saba mara sabini kwa siku Click to expand... Aaah!! Kwako tena! Nishasamehe laazizi.
MO11 said: imeandikwa samehe saba mara sabini kwa siku Click to expand... Aaah!! Kwako tena! Nishasamehe laazizi.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,472 Nov 9, 2016 #8,935 atoto said: Ninachokitaka nashukuru hata wewe unakijua, kazi kwako ni kinipa tu, yaani unipee hadi nikinai, ila sitaki kukinai. Click to expand... utaua watu kwa wivu kweli kwa style hii
atoto said: Ninachokitaka nashukuru hata wewe unakijua, kazi kwako ni kinipa tu, yaani unipee hadi nikinai, ila sitaki kukinai. Click to expand... utaua watu kwa wivu kweli kwa style hii
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Nov 9, 2016 #8,936 Honey Faith said: Ni akili ya darasani ndio haipo ila ya maisha ninayo Click to expand... Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder!
Honey Faith said: Ni akili ya darasani ndio haipo ila ya maisha ninayo Click to expand... Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,937 atoto said: Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga. Click to expand... Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee
atoto said: Nitoboe toboe mpenzi, maana kwako nishatia nanga. Click to expand... Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,962 Nov 9, 2016 #8,938 Madame B said: Kwahiyo wataka tukuroge utupende wawili? Mbona wataka kuwasha moto ambao huwezi kuuzima? Ila jua mie sitataka zamu....kila siku kwangu Click to expand... We nitongoze mimi...
Madame B said: Kwahiyo wataka tukuroge utupende wawili? Mbona wataka kuwasha moto ambao huwezi kuuzima? Ila jua mie sitataka zamu....kila siku kwangu Click to expand... We nitongoze mimi...
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,472 Nov 9, 2016 #8,939 Honey Faith said: Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee Click to expand... nimeamini nimeamini nakwambia kikulacho ki nguoni mwako dah
Honey Faith said: Rogie kesho napitia ofisini kwenu kuna deal moja nataka tuongee Click to expand... nimeamini nimeamini nakwambia kikulacho ki nguoni mwako dah
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 9, 2016 #8,940 atoto said: Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder! Click to expand... Sasa mtu sina uelewa na mambo mengine unategemea akili yangu itanituma kufanya nini kama si manyau nyau
atoto said: Ndio ukaamua ukimbilie kwa manyau nyau!! No wonder! Click to expand... Sasa mtu sina uelewa na mambo mengine unategemea akili yangu itanituma kufanya nini kama si manyau nyau