Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Na wewe unavyonikaliaga kooni hadi naachika nani mbaya zaidi yetu?Yani mie nilitakiwa sasa hivi nisiwe naongea kabisa na wewe kwa mambo uliyokwisha nifanyia

Hahahaaaa!! Lakini bado unanimiss!! Ila sijui yale maharage ya mbeya unayatoaga wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…