Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Msalimie mama konde(harmo)hayo mapinduzi ya jamii frm au ya zanzibar?ht uko ntwara mbona wapo maan wameenea kote
 
Msalimie mama konde(harmo)hayo mapinduzi ya jamii frm au ya zanzibar?ht uko ntwara mbona wapo maan wameenea kote
Mama salamu ntamfikishia pia kumueleza kijana wake siku hizi anasuka .Tatizo ni utofauti kati ya" ntu na ntu" we unajua [emoji1] haya mapinduzi ya JF ila ni mapinduzi hewa mkuu Kidudu na muheshimu sana yeye" hajaribiwi" japo na mimi ni Nna ka UmanFongo a.ka panga boi ya helicopter weka mbali na mti wa ajabu
 
Hahahaha sawa sina neno
 
daaah! hizo lips zimenimaliza,

na hiyo rangi ya chungwa uliyonayo,

natamani nione zaidi ya hapo,hahahahah ngoja niludishe picha yng ya zamani

"eres tan hermosa"

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Duh mkuu unakaba mpaka penalty, huna uwezo wa kuibua vipaji vingine?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mkuu lengo sio kukuharibia ila kama ana mdogo wake au rafiki yake basi ndio nilikuwa namaanisha aniweke huko[emoji23] [emoji23] hatari sana (In Sheikh Kipozeo Vioce)[emoji86]
 
Hahhahahahaaaa. Mizigo mikubwa mikubwa shekhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…