Acha uongo wewe, si ulikwenda kulewea advance ulopewa hata kazi hufanyi!! Usilete balaa we kazi huiwezi so tulia tujipetipeti sie.
Dau litapanda? kwasababu nitakupa na evidence kabisa....
Hunishindi mimi laazizi
Haina shida Mkuu kikubwa evidence tuu
Thanks baby
Mie nakuangalia tu baby, ila usijenilaumu baadae
Yo wellcome
Inaniuma sana hii thread inaitwa mtongozano ila nashangaa wakaka tu ndo wanatongoza wadada ila wadada hawatongozi wakaka,wadada badilikeni jamani anzeni kututongoza na sisi wakaka!!.....khaa kila siku sisi tuwangoze tu ninyi???,siyo haki kabisa yaani!!
Inaniuma sana hii thread inaitwa mtongozano ila nashangaa sisi wakaka tu ndo tunawatongoza wadada ila wadada hawatutongozi sisi wakaka,wadada badilikeni jamani anzeni kututongoza na sisi wakaka!!.....khaa kila siku sisi tuwatongoze tu ninyi???,siyo haki kabisa yaani!!
kwa hiyo unasemaje? nisepe zangu ama..
ila watch out!!
Ukiona hivyo ujue huna vigezo vya kutongozwa.
Haina shida Mkuu kila la her na safari njema
Ukiona hivyo ujue huna vigezo vya kutongozwa.
Mwaaaaaaah baby love.
kiongozi!! mambo vipi?