Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hahahaha asante sana mke mwenza kwa swali zuri.Yani miaka yote anatangatanga ndio wale mtaka yote kwa pupa sasa kabaki anashangaa shangaa na kila mtu yupo kwake............lol

Kazi nyingi, na bila hela mnatuita kaka lol.
 
Mtoto ananipenda mpaka leo lakini kwanini tugombanie samaki mmoja wakati kuvua najua?


πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„

teh teh..ulizidiwa kwenye ile ligi?

πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 

Kula chambo yangu basi nikunase.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…