Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

huwa natumia mashine kuoga.
salamu nimezipata mkuu. thank you sana

hahaaaa!! unatumia mashine?

actually uwe unaenda na shansarie bafuni bana!

its romantic kuoga na mkeo bafu moja!!... safari moja..........
 
Last edited by a moderator:
ohooo!!!!!!... nimefanya nini tena na huyo?

mzee oga tu ulale....! shansarie kokote uliko, nakutakia usiku tulivu... oga ulale na ww!

mko busy hadi usiku?

mkuu umenitafsiri aje kwani? sasa hivi ni mambo kwanza kuoga ni baadae kidogo
 
Back
Top Bottom