Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nipishe. You are too young for me. Plus am not available.

hebu shusha spanner kwanza tuongee! kwani young ni nini? mbona yanga wanaitwa young lakini wameifunga al ahly!
 
mi sio bazazi wewe!!

oh meeen! mi ata nilikuwa sina wazo hilo! kumbe una elements of chemistry! hahaaa!! ila charty huyu! hmm!

atawakimbiza wengi sana humu.. ngoja akue!
 
Last edited by a moderator:
hebu ona unavyojisogeza kwa Eli79! qudadeki.......! yani mimi! we ngoja!

ulitaka nijisogeze kwako Excel! Akhaa ebu ktulize kwa mkeo!utasubr sana..!mie ndo napepea!
 
Last edited by a moderator:
oh meeen! mi ata nilikuwa sina wazo hilo! kumbe una elements of chemistry! hahaaa!! ila charty huyu! hmm!

atawakimbiza wengi sana humu.. ngoja akue!
Eli79 come here meen! U nd to gat me better hahah! In mchombezo voice! Afu Excel kaa mbal na mim! Usiinglie anga zangu ntakutungua ka mindege ya marekan, pakstan
 
Last edited by a moderator:
Eli79 come here meen! U nd to gat me better hahah! In mchombezo voice! Afu Excel kaa mbal na mim! Usiinglie anga zangu ntakutungua ka mindege ya marekan, pakstan

mi unitungue? labda ukigeuka! hahaaa! lakini ukiongea huku umeangalia ukuta hivyo hivyo..! hahaaa! 😛hoto:
 
ulitaka nijisogeze kwako Excel! Akhaa ebu ktulize kwa mkeo!utasubr sana..!mie ndo napepea!

mi najijua vizuri ati! if i want to drink.. i drink! and so so so so! a king is never scared...!! bisha!
 
Back
Top Bottom