Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

poa poa, naona wife wangu hapa leo hanyanyuki.
na huyu ndiyo anadipu dipu kila saaa

hahahaaaa!! mzee leo mi sina neno! naomba nikutakie charty mwema! hahahaaaa! joke!

mi napanda kwa malikia wangu.. leo lazima kieleweke!
 
Last edited by a moderator:
nah bifuu meeen! Ahsante kwa mwaliko ila jaman Excel kuwad wangu plz naomba unitaftie mwanaume mwngne hch kibabu,i mean kiwatengu atakuja nifia siku moja kifuan, frm today onwards nimemwachia mkewe shansarie aendlee naye! Maana mwanamke mvumilivu huyu!khaa

Niachie kizee changu tunajuana wenyewe
 
Back
Top Bottom