Mtaala wa Elimu wa Sasa unazalisha Chawa badala ya Wataalamu, Kongole Wizara ya Elimu kwa kutengeneza Mtaala mpya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,009
Kipekee sana nimpongeze Waziri wa Elimu Prof Mkenda na timu yake kwa kusimamia mchakato na hatimaye kutuletea Mtaala mpya

Mtaala unaoondolewa umetuzalishia Chawa wa kutosha akina Mwijaku, Zitto, Pambalu, Tindo nk tulifika pabaya sana

Jumaa Mubarak
 
😅😅😅 Mkuu umewaza nini usiku wote huu
 
Lete mtaala wa zamani linganisha na huo wa sasa.

Onyesha gape lipi lilisababisha chawa wazalishwe.

Onyesha ikiwa hakuna vichochezi vingine vya chawa kuzalishwa.

Mtaala huu huu kausoma Amber Rutty, Diamond, Afande wa Zenji

Hizi nyuzi za aya 3 ziko biased mno
 
😂😂😂
 
Kipekee sana nimpongeze Waziri wa Elimu Prof Mkenda na timu yake kwa kusimamia mchakato na hatimaye kutuletea Mtaala mpya

Mtaala unaoondolewa umetuzalishia Chawa wa kutosha akina Mwijaku, Zitto, Pambalu, Tindo nk tulifika pabaya sana

Jumaa Mubarak
Somo la uzalendo huenda ndilo analo fikiria.
 
Kipekee sana nimpongeze Waziri wa Elimu Prof Mkenda na timu yake kwa kusimamia mchakato na hatimaye kutuletea Mtaala mpya

Mtaala unaoondolewa umetuzalishia Chawa wa kutosha akina Mwijaku, Zitto, Pambalu, Tindo nk tulifika pabaya sana

Jumaa Mubarak
Mada hii na aione na kuisoma Lucas Mwashambwa.
 
Chawa bongo wanazalishwa na wanasiasa wapenda sifa wapenda kuimbwa...
Toka kwa mwendazake chawa walishamiri, hadi huyu mama yenu ni mwendo huo huo
Kukomeshwa kwao ni kupata viongozi wasiopenda kuimbwa na sifa za kijinga.
 
Kipekee sana nimpongeze Waziri wa Elimu Prof Mkenda na timu yake kwa kusimamia mchakato na hatimaye kutuletea Mtaala mpya

Mtaala unaoondolewa umetuzalishia Chawa wa kutosha akina Mwijaku, Zitto, Pambalu, Tindo nk tulifika pabaya sana

Jumaa Mubarak
Mtaala umevurugwa kila kona
  1. University zimegeuka majalala
  2. University zimegeuka makazi ya kunguni
  3. Vyuo vya ualimu vimegeuzwa shule za "A" Level na diploma ya ualimu humohumo
  4. Walimu wamegeuzwa washangilia mwenge
 
Back
Top Bottom