Live: Mzee Malecela on ITV

Live: Mzee Malecela on ITV

Umeshawahi kumwaga sera za CCM au ni mipasho tu ambayo ni silaya ya wenye kuishiwa nguvu ya hoja kwa kutumia nguvu ya mipasho kama hoja ya nguvu?

Mkuu Candid
unaniangusha sera za chama makini zipo wazi sana na wananchi wanajionea wenyewe jinsi kila siku jinsi tunavyotekeleza ilani ya uchaguzi na tunavyomuendeleza mtanzania; wiki kadhaa tu zilizopita mwenyekiti alikuwa mikoa ya kaskazini kuzindua barabara; kufungua chuo kikuu cha mambo kisayansi; hizo ni moja ya sera hata mwenyekiti wenu Mbowe analitambua hilo; asiyeona hizo sera ni Slaa na nyie wanaharakati wa JF.

Chama
Gongo la mboto DSM

CC Ritz; malecela
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mambo ya home habari nyingine hata home poa tu si watu wanakula mchemsho? mambo ya kula misosi ya afya ni uamuzi kuku mchezo; samaki wa kuchoma; red meat sio kwa sana kijimvinyo chekundu kidogo; yote yanawezekana uamuzi tu mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama
Vyote hivyo kwa hela ya ufisadi na ujangili wa meno ya tembo
 
1. - HOW ABOUT 70, MARRIED TO 30 & PhD FROM CHURCH = CHADEMA PRESIDENT & CHADEMAS TANZANIA PRESIDENTIAL CANDIDATE!!

2. STUDYING FIRST DEGREE FROM 1990 NTIL NOW NOT FINISHED YET = CHADEMA CHAIRMAN & CHADEMAS TANZANIAS PRESIDANTIAL CANDIDATE!1

3. UDSM DEGREE, MBA FROM GERMANY MR. ZITTO = CHADEMAS DEPUTY SECRETARY GENERAL NOT FIT TO CHADEMAS CHAIRMAN, NOT FIT TO RUN FOR CHADEMAS TANZANIA PRESIDENT

- MY GOODNESS! THE PARTY OF MEDIOCRE!!

Le Mutuz!!

William

ushauri mdogo sana kwako kaka

1. be sober

2. revert and roll back into normal life

3. isolate yourself completely from politics

4. pray to almighty god to forgive you, bless you and about turn success at this last quarter session of your life on earth

all the best
 
Mkuu Candid
unaniangusha sera za chama makini zipo wazi sana na wananchi wanajionea wenyewe jinsi kila siku jinsi tunavyotekeleza ilani ya uchaguzi na tunavyomuendeleza mtanzania; wiki kadhaa tu zilizopita mwenyekiti alikuwa mikoa ya kaskazini kuzindua barabara; kufungua chuo kikuu cha mambo kisayansi; hizo ni moja ya sera hata mwenyekiti wenu Mbowe analitambua hilo; asiyeona hizo sera ni Slaa na nyie wanaharakati wa JF.

Chama
Gongo la mboto DSM

CC Ritz; malecela
Mkuu chama serikali haisifiwi kwa kutengeneza barabara huo ni wajibu wake sasa unataka zijengwe na nani? Huo ni ujinga uliokidhiri kusifia mtu au Taasisi inayotekeleza wajibu wake. Labda serikali ingesema imeanzisha makazi mengine kwenye sayari nyingine hapo lazima isifiwe kwasababu siyo sehemu ya majukumu au wajibu kwahiyo mkuu acheni kukurupuka
 
Last edited by a moderator:
Vyote hivyo kwa hela ya ufisadi na ujangili wa meno ya tembo

Mkuu Precise pangolin
Mambo mpangilio tu yote yanawezekana; badala ya kwenda pub kujimwagia sumu unaweza kutulia nyumbani na kula misosi ya kueleweka; sio kila jambo ni ufisadi kama ingekuwa hivyo hao tembo na faru wangekuwa wamekwisha

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama serikali haisifiwi kwa kutengeneza barabara huo ni wajibu wake sasa unataka zijengwe na nani? Huo ni ujinga uliokidhiri kusifia mtu au Taasisi inayotekeleza wajibu wake. Labda serikali ingesema imeanzisha makazi mengine kwenye sayari nyingine hapo lazima isifiwe kwasababu siyo sehemu ya majukumu au wajibu kwahiyo mkuu acheni kukurupuka

Mkuu wajibu na kutekeleza ni mambo tofauti ni wazazi wangapi wana wajibu wa kusomesha watoto na wangapi wamelitekeleza hilo; mwenyekiti Mbowe ni mwanasiasa anayaona matunda ya kazi za serikali; ni Slaa na nyie wanaharakati ndio peke yenu mmejigeuza vipofu; chama makini CCM hakina mipangilio ya kikabila na ndio sababu tunapeleka maendeleo kotekote bila kujali tunaungwa mkono au la kwasababu sisi ndio serikali na hatuna migogoro ya kikabila!

mkuu chama ni hatari sana kusifia wajibu wa taasisi inayokusanya kodi yetu mkuu naona uvumilivu unaisha nitaanza kumwaga matusi
 
Last edited by a moderator:
mkuu chama ni hatari sana kusifia wajibu wa taasisi inayokusanya kodi yetu mkuu naona uvumilivu unaisha nitaanza kumwaga matusi

Mkuu nyie ni wanaharakati matusi ni sehemu ya kazi zenu hoja hamna; sasa wewe hujisikii raha kuona serikali imekusanya kodi na imezitumia kujenga barabara? Leo hii unasafiri Dar - Same bila matatizo? Nina uhakika unafurahia sana matunda ya kazi yanayofanywa na serikali yako ni hivi vijiposho vidogovidogo unavyopokea hapo mtaa wa Togo

Chama
GLM -dar Es Salaam

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mkuu chama ni hatari sana kusifia wajibu wa taasisi inayokusanya kodi yetu mkuu naona uvumilivu unaisha nitaanza kumwaga matusi

Ni aibu sana mtu makini na aliyepata elimu na malezi bora kujisifia matusi kama ndio silaha yake.

Sijui watoto wako wanajifunza nini kutoka kwako.

Mkuu chama, huyu jamaa ndio hazina ya Chadema wiliya ya Same kwenye udiwani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama serikali haisifiwi kwa kutengeneza barabara huo ni wajibu wake sasa unataka zijengwe na nani? Huo ni ujinga uliokidhiri kusifia mtu au Taasisi inayotekeleza wajibu wake. Labda serikali ingesema imeanzisha makazi mengine kwenye sayari nyingine hapo lazima isifiwe kwasababu siyo sehemu ya majukumu au wajibu kwahiyo mkuu acheni kukurupuka

Kama serikali haisifiwi inafanya wajibu wake sasa kwa nini nyie Pro-Chadema JF mnakesha JF mnamsifia Dr Slaa mnataka apewe serikali
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nyie ni wanaharakati matusi ni sehemu ya kazi zenu hoja hamna; sasa wewe hujisikii raha kuona serikali imekusanya kodi na imezitumia kujenga barabara? Leo hii unasafiri Dar - Same bila matatizo? Nina uhakika unafurahia sana matunda ya kazi yanayofanywa na serikali yako ni hivi vijiposho vidogovidogo unavyopokea hapo mtaa wa Togo

Chama
GLM -dar Es Salaam

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nikweli kabisa Mkuu chama pale Togo huwa tunapata posho zinazotokana na Ujangili wa meno tembo kutoka kwa Msomali tuliemuajiri juzijuzi baada ya sisi watanzania kushindwa uongozi tukaamua kutumia maharamia
 
Last edited by a moderator:
1. - HOW ABOUT 70, MARRIED TO 30 & PhD FROM CHURCH = CHADEMA PRESIDENT & CHADEMAS TANZANIA PRESIDENTIAL CANDIDATE!!

2. STUDYING FIRST DEGREE FROM 1990 NTIL NOW NOT FINISHED YET = CHADEMA CHAIRMAN & CHADEMAS TANZANIAS PRESIDANTIAL CANDIDATE!1

3. UDSM DEGREE, MBA FROM GERMANY MR. ZITTO = CHADEMAS DEPUTY SECRETARY GENERAL NOT FIT TO CHADEMAS CHAIRMAN, NOT FIT TO RUN FOR CHADEMAS TANZANIA PRESIDENT

- MY GOODNESS! THE PARTY OF MEDIOCRE!!

Le Mutuz!!

le mutuz jitahidi andika vitu bila kutumia adrenaline, na testosterone pengine hutotamani vifuta vitu vyko baadaye ktk public.Kwani hutafanikiwa.

We kuwa poked kidogo tuu na kupandisha ghdhabu na kujibizana na watu vibaya si issue.Appearance yako ktk shows mbalimbali Tanzania ni kichekesho.Kama vile ulimiss sana hivyo vitu ulipokuwa nje.Kuna minimum Level ya education mtu akishakuwa nayo anaruhusiwa gombea urais na uongozi wa vyama.

Pia ujue Tanzania watu kuwa vyeti ni hatua ya kwanza ya kutaka sikilizwa ila hatua ya pili kuweza fanya mambo ni kitu kingine.So jifunze kutazama mambo kiuhasilia, na umshauri huyo zitto kuwa hata akikimbizana kujaza vyeti hakutamsaidia sana kama ataanzisha turmoil.

Le mutuz ujue unawakilisha tabaka la watoto wa vigogo wanaodhani wanalinda himaya zao, na watoto wa wenye nchi wanaoona wanaweza na wanastahili kuwa sehemu ya jamii pana ya nchi hii.Hii mizaha unayoleta inaonyesha jinsi gani mlivyojisahau ktk dunia inayokimbia haraka sana.Mnacheza na raia wenye hasira na machungu makubwa sana.Sasa wewe unajichekesha na kujiona kama watu wanakuonea wivu, badala ya kuthibitisha unaweza.Na ktk siasa kuthibitisha hiloo inabidi uwe na maneno yenye mvuto na busara, halafu matendo yako yatie uzito.Pia mbinu za kisiasa vije baadaye.
 
Mkuu Le Mutuz
ile Ph.d ya Slaa ni ya kutunikiwa siamini kama alifaulu hainingii akilini mtu aliyeisoma Ph.d ya mambo ya sheria za dini ya kanisa Katoliki alitakiwa na uelewo mkubwa sana katika mambo ya kumcha Mungu; ikiwa mpaka leo hii mtu mwenye Ph.d ya kanisa Katoliki ameshindwa kujua na kupembenua mambo madogo mawili NDOA na ZINAA kweli utaniambia mtu huyu alikaa darasani? Kwa mimi ninavyoelewa vyuo vya Kanisa Katoliki vinatoa elimu yenye ubora wa juu sana hapa duniani; au labda kama utaniambia huyu jamaa alienda chuo cha kata kinachoendeshwa na Kanisa Katoliki; kitu ambacho hakipo; huyu jamaa Slaa ameliabisha sana Kanisa Katoliki na wakatoliki kwa ujumla; ni laghai ambaye anatumia kila njia; mkuu kwenye Biblia takatifu inaeleza ni jinsi shetani anavyowalaghai watu mfano halisi ni huyu Slaa; mimi binafsi kuanzia leo siwezi kumwita Dr. hii ni kujishushia elimu yangu; Dr. anatakiwa awe na upeo wa hali ya juu wa kupembua mambo kwenye fani yake sasa huyu Dr. wa kanoni wa sheria za DINI hata maana ya ZINAA na NDOA hakuelewa kuna maana gani ya kumwita Dr? Ushauri wa bure kwa wale wanandoa waliofungishwa ndoa na Slaa inabidi warudi kanisani wakabariki ndoa zao upya! Kama ni Dr. wa kupiga ramli na bao hapo tutakubaliana vinginevyo ni kushusha hadhi ya wanataaluma wenye Ph.d

Chama
Gongo la mboto DSM

cc: Ritz
Ni wewe tuu umeamua gandisha akili.Kumjua Dr. waulize wana CCM, huwa wanamkubali pale wanapokwama.Hizo propaganda magamba ni siasa chafu tuu, ila wanamkubalia ndio maana kila kikicha wanatamtaka ASEME NENO MOJA TUU NA ROHO ZAO ZIPATE AMANI,wanalia majukwaani kuwa Dr. kawapa marks ndogo au kapotezea kusema kitu.Wanalia Dr. hakuona chochote walichofanya.

Philosophy na canon law watu wanasoma mengi sana na kwa waliosoma metaphysics wanaongelea in details challenges na laws za Naturala science na modern science.

Hayo mengine ya ubora wa elimu umeshajijibu mwenyewe,.
 
Back
Top Bottom